id
string
story_id
string
context
string
question
string
answer
string
paragraph_id
string
4970_swa_4
4970_swa
NDOA YA KIFO. Rosa na dada wake mdogo Rose waliozaliwa wakiwa watoto wa kipekee kwao. Wazazi wao waliaga dunia Rosa akiwa miaka kumi na mitano naye Rose akiwa miaka kumi. Rosa naRose waliwapoyeza wazazi wao kwa ajali ya ndege. Wawili Hawa walichukuliwa na shangazi wao kuwalinda kwa kuwa walikuwa wachanga mno. Rosa alik...
Rosa alikohoa kikohozi chenye nini
damu
x
4971_swa_0
4971_swa
PIGO LA UGONJWA WA SARATANI Ugonjwa wa Sararani ni ugonjwa unaoadhiri damu mwilini. Ugonjwa huu husababishwa kushikana kwa damu na hivyo kuleta ama kusababisha kumea kwa uvimbe katika sehemu ya mwili iliyoadhirika. Kitambo kidogo, iliaminika kuwa ugonjwa wa Sararani huadhiri watu wa umri wa miaka hamsini kuenda juu na ...
Ugonjwa gani huathiri damu mwilini
saratani
x
4971_swa_1
4971_swa
PIGO LA UGONJWA WA SARATANI Ugonjwa wa Sararani ni ugonjwa unaoadhiri damu mwilini. Ugonjwa huu husababishwa kushikana kwa damu na hivyo kuleta ama kusababisha kumea kwa uvimbe katika sehemu ya mwili iliyoadhirika. Kitambo kidogo, iliaminika kuwa ugonjwa wa Sararani huadhiri watu wa umri wa miaka hamsini kuenda juu na ...
Lini iliaminika kuwa saratani huathiri watu wa miaka hamsini
kitambo kidogo
x
4971_swa_2
4971_swa
PIGO LA UGONJWA WA SARATANI Ugonjwa wa Sararani ni ugonjwa unaoadhiri damu mwilini. Ugonjwa huu husababishwa kushikana kwa damu na hivyo kuleta ama kusababisha kumea kwa uvimbe katika sehemu ya mwili iliyoadhirika. Kitambo kidogo, iliaminika kuwa ugonjwa wa Sararani huadhiri watu wa umri wa miaka hamsini kuenda juu na ...
Nini imeleta pigo kubwa kwetu
saratani
x
4971_swa_3
4971_swa
PIGO LA UGONJWA WA SARATANI Ugonjwa wa Sararani ni ugonjwa unaoadhiri damu mwilini. Ugonjwa huu husababishwa kushikana kwa damu na hivyo kuleta ama kusababisha kumea kwa uvimbe katika sehemu ya mwili iliyoadhirika. Kitambo kidogo, iliaminika kuwa ugonjwa wa Sararani huadhiri watu wa umri wa miaka hamsini kuenda juu na ...
Familia ya nani huathirika zaidi na kifo
mwendazake
x
4971_swa_4
4971_swa
PIGO LA UGONJWA WA SARATANI Ugonjwa wa Sararani ni ugonjwa unaoadhiri damu mwilini. Ugonjwa huu husababishwa kushikana kwa damu na hivyo kuleta ama kusababisha kumea kwa uvimbe katika sehemu ya mwili iliyoadhirika. Kitambo kidogo, iliaminika kuwa ugonjwa wa Sararani huadhiri watu wa umri wa miaka hamsini kuenda juu na ...
Mbona serikali hutumia pesa kuwafunza watu wengine
ili waweze kuchukua nafasi ya aliyeaga
x
4972_swa_0
4972_swa
RESIPE YA KUPIKA PILAU NA KITOWEO CHA KUKU. Pilau ni chakula Cha waswahili ambacho hupikwkwa kutumia vitu vifuatavyo 1. Vitunguu vitatu vikubwa 2. Tangawizi iliyobondwa ikawa ungaunga 3. Mafuta ya kupika 4. Chumvi vijiko vidogo vitatu 5 . Pilau Masala 6. Nyama ( kulingana na kiasi Cha pilau) 7. Mchele( kulingana na kia...
Pilau ni chakula Cha nani
waswahili
x
4972_swa_1
4972_swa
RESIPE YA KUPIKA PILAU NA KITOWEO CHA KUKU. Pilau ni chakula Cha waswahili ambacho hupikwkwa kutumia vitu vifuatavyo 1. Vitunguu vitatu vikubwa 2. Tangawizi iliyobondwa ikawa ungaunga 3. Mafuta ya kupika 4. Chumvi vijiko vidogo vitatu 5 . Pilau Masala 6. Nyama ( kulingana na kiasi Cha pilau) 7. Mchele( kulingana na kia...
nyama huchemshwa kwa muda upi ili iive
saa moja
x
4972_swa_2
4972_swa
RESIPE YA KUPIKA PILAU NA KITOWEO CHA KUKU. Pilau ni chakula Cha waswahili ambacho hupikwkwa kutumia vitu vifuatavyo 1. Vitunguu vitatu vikubwa 2. Tangawizi iliyobondwa ikawa ungaunga 3. Mafuta ya kupika 4. Chumvi vijiko vidogo vitatu 5 . Pilau Masala 6. Nyama ( kulingana na kiasi Cha pilau) 7. Mchele( kulingana na kia...
Nyanya ipi huongezwa kwa nyama
Iliyosagwa
x
4972_swa_3
4972_swa
RESIPE YA KUPIKA PILAU NA KITOWEO CHA KUKU. Pilau ni chakula Cha waswahili ambacho hupikwkwa kutumia vitu vifuatavyo 1. Vitunguu vitatu vikubwa 2. Tangawizi iliyobondwa ikawa ungaunga 3. Mafuta ya kupika 4. Chumvi vijiko vidogo vitatu 5 . Pilau Masala 6. Nyama ( kulingana na kiasi Cha pilau) 7. Mchele( kulingana na kia...
Mtu huongeza maji kulingana na kiwango cha nini
Pilau
x
4972_swa_4
4972_swa
RESIPE YA KUPIKA PILAU NA KITOWEO CHA KUKU. Pilau ni chakula Cha waswahili ambacho hupikwkwa kutumia vitu vifuatavyo 1. Vitunguu vitatu vikubwa 2. Tangawizi iliyobondwa ikawa ungaunga 3. Mafuta ya kupika 4. Chumvi vijiko vidogo vitatu 5 . Pilau Masala 6. Nyama ( kulingana na kiasi Cha pilau) 7. Mchele( kulingana na kia...
Kitoweo hufunikwa kwa nini
Ili kichemke
x
4976_swa_0
4976_swa
Athari za Ufisadi Nchini Tangu jadi nchi za Afrika zimekumbwa na zogo moja. Hili zogo linakisiwa lililetwa na Wazungu. Huo huo wakati wa ukoloni. Walipofurushwa kutoka Afrika, waliliacha huku. Shina nao ikasambaza mizizi. Nchi mingi zimejaribu kuuingoa hili zogo. Lakini wengi wanaambulia patupu. Mizizi inazidi kikita k...
Tangu jadi nchi za Afrika zimekumbwa na nini
Zogo
x
4976_swa_1
4976_swa
Athari za Ufisadi Nchini Tangu jadi nchi za Afrika zimekumbwa na zogo moja. Hili zogo linakisiwa lililetwa na Wazungu. Huo huo wakati wa ukoloni. Walipofurushwa kutoka Afrika, waliliacha huku. Shina nao ikasambaza mizizi. Nchi mingi zimejaribu kuuingoa hili zogo. Lakini wengi wanaambulia patupu. Mizizi inazidi kikita k...
Ufisadi ulianza lini
Jadi
x
4976_swa_2
4976_swa
Athari za Ufisadi Nchini Tangu jadi nchi za Afrika zimekumbwa na zogo moja. Hili zogo linakisiwa lililetwa na Wazungu. Huo huo wakati wa ukoloni. Walipofurushwa kutoka Afrika, waliliacha huku. Shina nao ikasambaza mizizi. Nchi mingi zimejaribu kuuingoa hili zogo. Lakini wengi wanaambulia patupu. Mizizi inazidi kikita k...
Nani wanampendelea mtoto moja
wazazi
x
4976_swa_3
4976_swa
Athari za Ufisadi Nchini Tangu jadi nchi za Afrika zimekumbwa na zogo moja. Hili zogo linakisiwa lililetwa na Wazungu. Huo huo wakati wa ukoloni. Walipofurushwa kutoka Afrika, waliliacha huku. Shina nao ikasambaza mizizi. Nchi mingi zimejaribu kuuingoa hili zogo. Lakini wengi wanaambulia patupu. Mizizi inazidi kikita k...
wanoshiriki ufisadi huwa wanatumia nini mara nyingi
pesa
x
4976_swa_4
4976_swa
Athari za Ufisadi Nchini Tangu jadi nchi za Afrika zimekumbwa na zogo moja. Hili zogo linakisiwa lililetwa na Wazungu. Huo huo wakati wa ukoloni. Walipofurushwa kutoka Afrika, waliliacha huku. Shina nao ikasambaza mizizi. Nchi mingi zimejaribu kuuingoa hili zogo. Lakini wengi wanaambulia patupu. Mizizi inazidi kikita k...
Ni kwa vipi wanasiasa wanachangia katika ufisadi
Wanawalaghai wananchi kwa pesa wakitafuta kura
x
4977_swa_0
4977_swa
Dhuluma Nchini Kuna kasumba inayoendelea nchini. Ambayo inapaswa kushughulikiwa. Mambo mengi yanayotatiza jamii. Ni mambo ambayo yanaweza kutatuliwa. Ikilinganishwa na mababu zetu. Dunia ya kisasa imejaa uovu. Jamii imepotoshwa . Hakuna tena maadili mema. Binadamu wamegeuka hayawani. Hakuna anayemjali mwingine. Kutokan...
Dunia ya kisasa imejaa nini
Uovu
x
4977_swa_1
4977_swa
Dhuluma Nchini Kuna kasumba inayoendelea nchini. Ambayo inapaswa kushughulikiwa. Mambo mengi yanayotatiza jamii. Ni mambo ambayo yanaweza kutatuliwa. Ikilinganishwa na mababu zetu. Dunia ya kisasa imejaa uovu. Jamii imepotoshwa . Hakuna tena maadili mema. Binadamu wamegeuka hayawani. Hakuna anayemjali mwingine. Kutokan...
Nani wamegeuka hayawani
Binadamu
x
4977_swa_2
4977_swa
Dhuluma Nchini Kuna kasumba inayoendelea nchini. Ambayo inapaswa kushughulikiwa. Mambo mengi yanayotatiza jamii. Ni mambo ambayo yanaweza kutatuliwa. Ikilinganishwa na mababu zetu. Dunia ya kisasa imejaa uovu. Jamii imepotoshwa . Hakuna tena maadili mema. Binadamu wamegeuka hayawani. Hakuna anayemjali mwingine. Kutokan...
Nani wanapitia hali ngumu
Wanawake
x
4977_swa_3
4977_swa
Dhuluma Nchini Kuna kasumba inayoendelea nchini. Ambayo inapaswa kushughulikiwa. Mambo mengi yanayotatiza jamii. Ni mambo ambayo yanaweza kutatuliwa. Ikilinganishwa na mababu zetu. Dunia ya kisasa imejaa uovu. Jamii imepotoshwa . Hakuna tena maadili mema. Binadamu wamegeuka hayawani. Hakuna anayemjali mwingine. Kutokan...
Ni nini inahusiana na kupokea au kutoa rushwa
Ufisadi
x
4977_swa_4
4977_swa
Dhuluma Nchini Kuna kasumba inayoendelea nchini. Ambayo inapaswa kushughulikiwa. Mambo mengi yanayotatiza jamii. Ni mambo ambayo yanaweza kutatuliwa. Ikilinganishwa na mababu zetu. Dunia ya kisasa imejaa uovu. Jamii imepotoshwa . Hakuna tena maadili mema. Binadamu wamegeuka hayawani. Hakuna anayemjali mwingine. Kutokan...
Ni vipi mtu hajahitimu hupata kazi
Kwa kutoa rushwa
x
4978_swa_0
4978_swa
Fahari ya Kiafrika Mojawapo ya athari kubwa. Katika maendeleo ya jamii za kisasa. Ni kupapia tamaduni . Za kimagharibi. Na kutupilia tamaduni ambazo toka jadi. Zimekuwa mlezi wa jamii. Nyingi barani afrika. Ni muhimu kutambua kuwa hakuna. Utamaduni ambao umeustawisha mwingine. Badala ya kuimarisha utamaduni dhaifu. Na ...
Hakuna nini ambao umeustawisha mwingine
Utamaduni
x
4978_swa_1
4978_swa
Fahari ya Kiafrika Mojawapo ya athari kubwa. Katika maendeleo ya jamii za kisasa. Ni kupapia tamaduni . Za kimagharibi. Na kutupilia tamaduni ambazo toka jadi. Zimekuwa mlezi wa jamii. Nyingi barani afrika. Ni muhimu kutambua kuwa hakuna. Utamaduni ambao umeustawisha mwingine. Badala ya kuimarisha utamaduni dhaifu. Na ...
Wavyele wa jamii za Kiafrika walifanya uamuzi kuhusiana na nini
Lishe
x
4978_swa_2
4978_swa
Fahari ya Kiafrika Mojawapo ya athari kubwa. Katika maendeleo ya jamii za kisasa. Ni kupapia tamaduni . Za kimagharibi. Na kutupilia tamaduni ambazo toka jadi. Zimekuwa mlezi wa jamii. Nyingi barani afrika. Ni muhimu kutambua kuwa hakuna. Utamaduni ambao umeustawisha mwingine. Badala ya kuimarisha utamaduni dhaifu. Na ...
Asili mia ya madini ya vitamini C kwa kiazi kimoja ni ngapi
Sitini na tano
x
4978_swa_3
4978_swa
Fahari ya Kiafrika Mojawapo ya athari kubwa. Katika maendeleo ya jamii za kisasa. Ni kupapia tamaduni . Za kimagharibi. Na kutupilia tamaduni ambazo toka jadi. Zimekuwa mlezi wa jamii. Nyingi barani afrika. Ni muhimu kutambua kuwa hakuna. Utamaduni ambao umeustawisha mwingine. Badala ya kuimarisha utamaduni dhaifu. Na ...
Nini huimarisha utendakazi wa matumbo
Utembwe
x
4978_swa_4
4978_swa
Fahari ya Kiafrika Mojawapo ya athari kubwa. Katika maendeleo ya jamii za kisasa. Ni kupapia tamaduni . Za kimagharibi. Na kutupilia tamaduni ambazo toka jadi. Zimekuwa mlezi wa jamii. Nyingi barani afrika. Ni muhimu kutambua kuwa hakuna. Utamaduni ambao umeustawisha mwingine. Badala ya kuimarisha utamaduni dhaifu. Na ...
Ili kupunguza baadhi ya changamoto za kiafya vipi
Kwa kuhamasisha umma kuhusu maendeleo pofu
x
4979_swa_0
4979_swa
Faraga Tulibaki pale maziarani kwa muda. Mrefu bila kutaamuli. Nilikuwa pamoja na mama na halati mdogowe mama. Niliendelea kulisasasasasa lile kaburi. Nikachomeka kijiti cha waridi. Jekundu upande uliolazwa kichwa cha marehemu. Nilipotupa ozi angani. Anga lilikuwa wazi huku jua. Likicheza danedane kwa hashuo. Pengine r...
Msimulizi alichomeka kijiti gani katika lile kaburi
cha waridi
x
4979_swa_1
4979_swa
Faraga Tulibaki pale maziarani kwa muda. Mrefu bila kutaamuli. Nilikuwa pamoja na mama na halati mdogowe mama. Niliendelea kulisasasasasa lile kaburi. Nikachomeka kijiti cha waridi. Jekundu upande uliolazwa kichwa cha marehemu. Nilipotupa ozi angani. Anga lilikuwa wazi huku jua. Likicheza danedane kwa hashuo. Pengine r...
Kifua cha nani hakifikwi kanchiri
cha mume
x
4979_swa_2
4979_swa
Faraga Tulibaki pale maziarani kwa muda. Mrefu bila kutaamuli. Nilikuwa pamoja na mama na halati mdogowe mama. Niliendelea kulisasasasasa lile kaburi. Nikachomeka kijiti cha waridi. Jekundu upande uliolazwa kichwa cha marehemu. Nilipotupa ozi angani. Anga lilikuwa wazi huku jua. Likicheza danedane kwa hashuo. Pengine r...
Wenzao waliondoka lini hapo
kitambo
x
4979_swa_3
4979_swa
Faraga Tulibaki pale maziarani kwa muda. Mrefu bila kutaamuli. Nilikuwa pamoja na mama na halati mdogowe mama. Niliendelea kulisasasasasa lile kaburi. Nikachomeka kijiti cha waridi. Jekundu upande uliolazwa kichwa cha marehemu. Nilipotupa ozi angani. Anga lilikuwa wazi huku jua. Likicheza danedane kwa hashuo. Pengine r...
Babake Zakani alikuwa mwenye uzuri wa nini
tende
x
4979_swa_4
4979_swa
Faraga Tulibaki pale maziarani kwa muda. Mrefu bila kutaamuli. Nilikuwa pamoja na mama na halati mdogowe mama. Niliendelea kulisasasasasa lile kaburi. Nikachomeka kijiti cha waridi. Jekundu upande uliolazwa kichwa cha marehemu. Nilipotupa ozi angani. Anga lilikuwa wazi huku jua. Likicheza danedane kwa hashuo. Pengine r...
Mbona mameke Zakani alijipata akipigana na wanawake
ili kutetea haki yake
x
4980_swa_0
4980_swa
KILIMO Ilikuwa jumamosi. Nikifika kwangu mnamo wa saa kumi na mbili. Unusu jioni. Tangu nistaafu miaka miwili. Awali sikupenda kuchelewa. Kusikiliza taarifa za habari. Mwezi mmoja ukawa umepita tangu. Nipewe kiinuamgongo. Mwezi mmoja mzima nilikuwa katika. Shughuli za kulipa madeni. Hapa na kulipa karo huku. Kuwekeza k...
Mwezi mmoja alikuwa katika shughuli za kulipa nini
madeni
x
4980_swa_1
4980_swa
KILIMO Ilikuwa jumamosi. Nikifika kwangu mnamo wa saa kumi na mbili. Unusu jioni. Tangu nistaafu miaka miwili. Awali sikupenda kuchelewa. Kusikiliza taarifa za habari. Mwezi mmoja ukawa umepita tangu. Nipewe kiinuamgongo. Mwezi mmoja mzima nilikuwa katika. Shughuli za kulipa madeni. Hapa na kulipa karo huku. Kuwekeza k...
Watu wengi walimshauri ajaribu kilimo gani
cha mahindi
x
4980_swa_2
4980_swa
KILIMO Ilikuwa jumamosi. Nikifika kwangu mnamo wa saa kumi na mbili. Unusu jioni. Tangu nistaafu miaka miwili. Awali sikupenda kuchelewa. Kusikiliza taarifa za habari. Mwezi mmoja ukawa umepita tangu. Nipewe kiinuamgongo. Mwezi mmoja mzima nilikuwa katika. Shughuli za kulipa madeni. Hapa na kulipa karo huku. Kuwekeza k...
Waziri alitangaza bei mpya lini katika taarifa ya habari
jioni hiyo
x
4980_swa_3
4980_swa
KILIMO Ilikuwa jumamosi. Nikifika kwangu mnamo wa saa kumi na mbili. Unusu jioni. Tangu nistaafu miaka miwili. Awali sikupenda kuchelewa. Kusikiliza taarifa za habari. Mwezi mmoja ukawa umepita tangu. Nipewe kiinuamgongo. Mwezi mmoja mzima nilikuwa katika. Shughuli za kulipa madeni. Hapa na kulipa karo huku. Kuwekeza k...
Mbona usingizi ulimchukua kwa haraka
sababu ya uchovu
x
4980_swa_4
4980_swa
KILIMO Ilikuwa jumamosi. Nikifika kwangu mnamo wa saa kumi na mbili. Unusu jioni. Tangu nistaafu miaka miwili. Awali sikupenda kuchelewa. Kusikiliza taarifa za habari. Mwezi mmoja ukawa umepita tangu. Nipewe kiinuamgongo. Mwezi mmoja mzima nilikuwa katika. Shughuli za kulipa madeni. Hapa na kulipa karo huku. Kuwekeza k...
Aliwaajiri nani wawafukuze korongo
vijana
x
4981_swa_0
4981_swa
LUGHA YA KISWAHILI Lugha imekuwa kikwazo kikubwa. Katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano. Barani afrika. Lugha ambazo zimekuwa zikitumiwa. Ni za kimagharibi. Kama vile. Kijerumani. Kifaransa. Na kiingereza. Idadi kubwa ya waafrika. Hasa wanaishi. Vijijiji. Hawazifahamu lugha hizi. Uamuzi wa shirika la Micros...
Nini imekuwa kikwazo kikubwa katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano
Lugha
x
4981_swa_1
4981_swa
LUGHA YA KISWAHILI Lugha imekuwa kikwazo kikubwa. Katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano. Barani afrika. Lugha ambazo zimekuwa zikitumiwa. Ni za kimagharibi. Kama vile. Kijerumani. Kifaransa. Na kiingereza. Idadi kubwa ya waafrika. Hasa wanaishi. Vijijiji. Hawazifahamu lugha hizi. Uamuzi wa shirika la Micros...
Wananchi wangapi wanafaidika na tarakilishi
Milioni mia hamsini
x
4981_swa_2
4981_swa
LUGHA YA KISWAHILI Lugha imekuwa kikwazo kikubwa. Katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano. Barani afrika. Lugha ambazo zimekuwa zikitumiwa. Ni za kimagharibi. Kama vile. Kijerumani. Kifaransa. Na kiingereza. Idadi kubwa ya waafrika. Hasa wanaishi. Vijijiji. Hawazifahamu lugha hizi. Uamuzi wa shirika la Micros...
Ni nani kiongozi wa Microsoft
Billgates
x
4981_swa_3
4981_swa
LUGHA YA KISWAHILI Lugha imekuwa kikwazo kikubwa. Katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano. Barani afrika. Lugha ambazo zimekuwa zikitumiwa. Ni za kimagharibi. Kama vile. Kijerumani. Kifaransa. Na kiingereza. Idadi kubwa ya waafrika. Hasa wanaishi. Vijijiji. Hawazifahamu lugha hizi. Uamuzi wa shirika la Micros...
Vyuo vikuu vinatoa masomo kwa kuatumia nini
Mitandao
x
4981_swa_4
4981_swa
LUGHA YA KISWAHILI Lugha imekuwa kikwazo kikubwa. Katika kukuza teknolojia ya habari na mawasiliano. Barani afrika. Lugha ambazo zimekuwa zikitumiwa. Ni za kimagharibi. Kama vile. Kijerumani. Kifaransa. Na kiingereza. Idadi kubwa ya waafrika. Hasa wanaishi. Vijijiji. Hawazifahamu lugha hizi. Uamuzi wa shirika la Micros...
Kwa nini ni muhimu kupunguza bei ya ngamizi na vipuri vyake
Ili kuwatia watu motisha wa kutumia kompyuta kwa wingi
x
4982_swa_0
4982_swa
Madhara ya Sukari Watu wengi hawawezi kunywa chai. Au uji bila kutia sukari. Wanatumia sukari Kwa hamu na ghamu. Bila kutambua kuwa hiyo. Ni sumu wanayojiongezea mwilini. Ni ukweli usiopingika kuwa. Wazee wetu wa jadi. Waliishi muda mrefu. Wakiwa na siha njema kuliko sisi. Hii ni kwa kuwa. Waliishi katika kipindi ambac...
Watu wengi hawawezi kunywa chai ama uji bila nini
Sukari
x
4982_swa_1
4982_swa
Madhara ya Sukari Watu wengi hawawezi kunywa chai. Au uji bila kutia sukari. Wanatumia sukari Kwa hamu na ghamu. Bila kutambua kuwa hiyo. Ni sumu wanayojiongezea mwilini. Ni ukweli usiopingika kuwa. Wazee wetu wa jadi. Waliishi muda mrefu. Wakiwa na siha njema kuliko sisi. Hii ni kwa kuwa. Waliishi katika kipindi ambac...
Sukari nyeupe imehusishwa na ongezeko la maradhi yapi
kisukari
x
4982_swa_2
4982_swa
Madhara ya Sukari Watu wengi hawawezi kunywa chai. Au uji bila kutia sukari. Wanatumia sukari Kwa hamu na ghamu. Bila kutambua kuwa hiyo. Ni sumu wanayojiongezea mwilini. Ni ukweli usiopingika kuwa. Wazee wetu wa jadi. Waliishi muda mrefu. Wakiwa na siha njema kuliko sisi. Hii ni kwa kuwa. Waliishi katika kipindi ambac...
Sukari gani ni bora kwa mwili wa binadamu
Asali
x
4982_swa_3
4982_swa
Madhara ya Sukari Watu wengi hawawezi kunywa chai. Au uji bila kutia sukari. Wanatumia sukari Kwa hamu na ghamu. Bila kutambua kuwa hiyo. Ni sumu wanayojiongezea mwilini. Ni ukweli usiopingika kuwa. Wazee wetu wa jadi. Waliishi muda mrefu. Wakiwa na siha njema kuliko sisi. Hii ni kwa kuwa. Waliishi katika kipindi ambac...
HuwezaNini huzidisha kiwango cha himoglobini
Asali
x
4982_swa_4
4982_swa
Madhara ya Sukari Watu wengi hawawezi kunywa chai. Au uji bila kutia sukari. Wanatumia sukari Kwa hamu na ghamu. Bila kutambua kuwa hiyo. Ni sumu wanayojiongezea mwilini. Ni ukweli usiopingika kuwa. Wazee wetu wa jadi. Waliishi muda mrefu. Wakiwa na siha njema kuliko sisi. Hii ni kwa kuwa. Waliishi katika kipindi ambac...
Ni vipi asali inasaidia kwa ngozi
Asali hutunza ngozi
x
4983_swa_0
4983_swa
MAJUKUMU YA UZAZI Tangu jadi jukumu la mzazi lilikuwa kumalea mwanae. Baada ya ujaa uzito, mama alikuwa ana mkumbatia mwanawe. Amuelekeze. Amuonyeshe njia. Amuadhibu akikosa. Lakini katika karne hii mambo yamekuwa butu. Changamoto za kuwa mzazi zimekuwa mingi mno. Wengi wameshindwa kuwa wazi wenye hekima. Taadhima ya u...
Jukumu la kumlea mwana ni la nani
Mzazi
x
4983_swa_1
4983_swa
MAJUKUMU YA UZAZI Tangu jadi jukumu la mzazi lilikuwa kumalea mwanae. Baada ya ujaa uzito, mama alikuwa ana mkumbatia mwanawe. Amuelekeze. Amuonyeshe njia. Amuadhibu akikosa. Lakini katika karne hii mambo yamekuwa butu. Changamoto za kuwa mzazi zimekuwa mingi mno. Wengi wameshindwa kuwa wazi wenye hekima. Taadhima ya u...
Baada ya ujauzito mama alikuwa na jukumu lipi
Kumwelekeza mwanawe
x
4983_swa_2
4983_swa
MAJUKUMU YA UZAZI Tangu jadi jukumu la mzazi lilikuwa kumalea mwanae. Baada ya ujaa uzito, mama alikuwa ana mkumbatia mwanawe. Amuelekeze. Amuonyeshe njia. Amuadhibu akikosa. Lakini katika karne hii mambo yamekuwa butu. Changamoto za kuwa mzazi zimekuwa mingi mno. Wengi wameshindwa kuwa wazi wenye hekima. Taadhima ya u...
Chakula cha watoto wetu imekuwa ni nini
Mihadarati
x
4983_swa_3
4983_swa
MAJUKUMU YA UZAZI Tangu jadi jukumu la mzazi lilikuwa kumalea mwanae. Baada ya ujaa uzito, mama alikuwa ana mkumbatia mwanawe. Amuelekeze. Amuonyeshe njia. Amuadhibu akikosa. Lakini katika karne hii mambo yamekuwa butu. Changamoto za kuwa mzazi zimekuwa mingi mno. Wengi wameshindwa kuwa wazi wenye hekima. Taadhima ya u...
Wazazi wana nafasi gani katika ukuaji wa watoto wao
Nguzo
x
4983_swa_4
4983_swa
MAJUKUMU YA UZAZI Tangu jadi jukumu la mzazi lilikuwa kumalea mwanae. Baada ya ujaa uzito, mama alikuwa ana mkumbatia mwanawe. Amuelekeze. Amuonyeshe njia. Amuadhibu akikosa. Lakini katika karne hii mambo yamekuwa butu. Changamoto za kuwa mzazi zimekuwa mingi mno. Wengi wameshindwa kuwa wazi wenye hekima. Taadhima ya u...
Ni jambo lipi kaktika kuwapotosha watoto
Haki za watoto
x
4986_swa_0
4986_swa
Maskini Na Tajiri Pale kale palikuwa na mtu mmoja. Maskini sana. Riziki yake kubwa ilikuwa . Ni mikate aliyookota. Kutoka jalalani. Katika mtaa huo huo. Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye. Kwake kulipikiwa nyama. Za kila aina. Zenye kuvutia mapua. Basi kila adhuhuri maskini. Alienda nje ya nyumba. Ya tajiri huyu. Akitumia...
Kwake tajiri kulipikiwa nini
Nyama za kila aina
x
4986_swa_1
4986_swa
Maskini Na Tajiri Pale kale palikuwa na mtu mmoja. Maskini sana. Riziki yake kubwa ilikuwa . Ni mikate aliyookota. Kutoka jalalani. Katika mtaa huo huo. Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye. Kwake kulipikiwa nyama. Za kila aina. Zenye kuvutia mapua. Basi kila adhuhuri maskini. Alienda nje ya nyumba. Ya tajiri huyu. Akitumia...
Riziki ya maskini ilikuwa ipi
Mikate aliyookota kutoka jalalani
x
4986_swa_2
4986_swa
Maskini Na Tajiri Pale kale palikuwa na mtu mmoja. Maskini sana. Riziki yake kubwa ilikuwa . Ni mikate aliyookota. Kutoka jalalani. Katika mtaa huo huo. Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye. Kwake kulipikiwa nyama. Za kila aina. Zenye kuvutia mapua. Basi kila adhuhuri maskini. Alienda nje ya nyumba. Ya tajiri huyu. Akitumia...
Tajiri aliita nani kumkamata maskini
Watumishi
x
4986_swa_3
4986_swa
Maskini Na Tajiri Pale kale palikuwa na mtu mmoja. Maskini sana. Riziki yake kubwa ilikuwa . Ni mikate aliyookota. Kutoka jalalani. Katika mtaa huo huo. Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye. Kwake kulipikiwa nyama. Za kila aina. Zenye kuvutia mapua. Basi kila adhuhuri maskini. Alienda nje ya nyumba. Ya tajiri huyu. Akitumia...
Tajiri aliomba kulipwa pesa ngapi
Shilingi ishirini
x
4986_swa_4
4986_swa
Maskini Na Tajiri Pale kale palikuwa na mtu mmoja. Maskini sana. Riziki yake kubwa ilikuwa . Ni mikate aliyookota. Kutoka jalalani. Katika mtaa huo huo. Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye. Kwake kulipikiwa nyama. Za kila aina. Zenye kuvutia mapua. Basi kila adhuhuri maskini. Alienda nje ya nyumba. Ya tajiri huyu. Akitumia...
Maskini alikamatwa na watumishi wa Tajiri na kupelekwa wapi
Kwa Jumbe
x
4988_swa_0
4988_swa
MSIBA WA KUJITAKIA Dunia ni mahali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Inakisiwa kuwa baada ya maumbo yote kutendeka, mwanadamu aliekwa dunia ili pawe kwake pa kuishi. Mwanadamu akapewa amri kuwa ailinde dunia. Lakini hili agizo limegeuzwa. Mwanadamu ameunda njama zake ili kuiharibu dunia. Hizi njama zinahusishwa na mie...
Ni wapi mahali muhimu katika maisha ya mwanadamu.
Dunia
x
4988_swa_1
4988_swa
MSIBA WA KUJITAKIA Dunia ni mahali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Inakisiwa kuwa baada ya maumbo yote kutendeka, mwanadamu aliekwa dunia ili pawe kwake pa kuishi. Mwanadamu akapewa amri kuwa ailinde dunia. Lakini hili agizo limegeuzwa. Mwanadamu ameunda njama zake ili kuiharibu dunia. Hizi njama zinahusishwa na mie...
Ni nini zimeathiri maziwa mengi nchini
Kemikali
x
4988_swa_2
4988_swa
MSIBA WA KUJITAKIA Dunia ni mahali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Inakisiwa kuwa baada ya maumbo yote kutendeka, mwanadamu aliekwa dunia ili pawe kwake pa kuishi. Mwanadamu akapewa amri kuwa ailinde dunia. Lakini hili agizo limegeuzwa. Mwanadamu ameunda njama zake ili kuiharibu dunia. Hizi njama zinahusishwa na mie...
Nini ya siku hizi ni kama sumu.
Mvua
x
4988_swa_3
4988_swa
MSIBA WA KUJITAKIA Dunia ni mahali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Inakisiwa kuwa baada ya maumbo yote kutendeka, mwanadamu aliekwa dunia ili pawe kwake pa kuishi. Mwanadamu akapewa amri kuwa ailinde dunia. Lakini hili agizo limegeuzwa. Mwanadamu ameunda njama zake ili kuiharibu dunia. Hizi njama zinahusishwa na mie...
Nini huangamizwa na Kemikali
Viumbe
x
4988_swa_4
4988_swa
MSIBA WA KUJITAKIA Dunia ni mahali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Inakisiwa kuwa baada ya maumbo yote kutendeka, mwanadamu aliekwa dunia ili pawe kwake pa kuishi. Mwanadamu akapewa amri kuwa ailinde dunia. Lakini hili agizo limegeuzwa. Mwanadamu ameunda njama zake ili kuiharibu dunia. Hizi njama zinahusishwa na mie...
Kwa nini samaki wanaobaki baharini sio sawa kwa matumizi
Kwa sababu ya kemikali zinazotupwa maziwani
x
4989_swa_0
4989_swa
Mti Shamba Salaam aleikum. Ndugu yangu. Aleikum salaam. Shikamoo mzee. Marahaba. Alfajiri hii mnapelekana wapi. Kijana anaugua. Tunatafuta tiba ya kienyeji. Uganga wa kienyeji utaupata wapi zama hizi. Kwani wewe humfahamu kunyangalipua. Mimi nilifikiri ameangamizwa na uganga wa kisasa. Kumbe bado yupo. Yupo tena sifa z...
Nani hawana ujuzi.
Waganga
x
4989_swa_1
4989_swa
Mti Shamba Salaam aleikum. Ndugu yangu. Aleikum salaam. Shikamoo mzee. Marahaba. Alfajiri hii mnapelekana wapi. Kijana anaugua. Tunatafuta tiba ya kienyeji. Uganga wa kienyeji utaupata wapi zama hizi. Kwani wewe humfahamu kunyangalipua. Mimi nilifikiri ameangamizwa na uganga wa kisasa. Kumbe bado yupo. Yupo tena sifa z...
Tiba ipi udhaifu
Kienyeji
x
4989_swa_2
4989_swa
Mti Shamba Salaam aleikum. Ndugu yangu. Aleikum salaam. Shikamoo mzee. Marahaba. Alfajiri hii mnapelekana wapi. Kijana anaugua. Tunatafuta tiba ya kienyeji. Uganga wa kienyeji utaupata wapi zama hizi. Kwani wewe humfahamu kunyangalipua. Mimi nilifikiri ameangamizwa na uganga wa kisasa. Kumbe bado yupo. Yupo tena sifa z...
Waganga wengine hudai hata nini
ng'ombe
x
4989_swa_3
4989_swa
Mti Shamba Salaam aleikum. Ndugu yangu. Aleikum salaam. Shikamoo mzee. Marahaba. Alfajiri hii mnapelekana wapi. Kijana anaugua. Tunatafuta tiba ya kienyeji. Uganga wa kienyeji utaupata wapi zama hizi. Kwani wewe humfahamu kunyangalipua. Mimi nilifikiri ameangamizwa na uganga wa kisasa. Kumbe bado yupo. Yupo tena sifa z...
Waganga hushirikiana na taasisi zipi
utafiti
x
4989_swa_4
4989_swa
Mti Shamba Salaam aleikum. Ndugu yangu. Aleikum salaam. Shikamoo mzee. Marahaba. Alfajiri hii mnapelekana wapi. Kijana anaugua. Tunatafuta tiba ya kienyeji. Uganga wa kienyeji utaupata wapi zama hizi. Kwani wewe humfahamu kunyangalipua. Mimi nilifikiri ameangamizwa na uganga wa kisasa. Kumbe bado yupo. Yupo tena sifa z...
Kwa nini mashirika makubwa yanashauri kuimarishwa kwa tiba asili
Ili itumike sambamba na mbinu za kisasa za matibabu
x
4990_swa_0
4990_swa
Stawi za Nchi Zinazokua Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu huathirika. Na biashara ya kimataifa . Biashara hiyo inaweza kuwa inafanywa kwa uagizaji . Ama uuzaji wa bidhaa kwa nchi nyingine. Biashara ya kimataifa ina umuhimu mkubwa. Kwanza . Inawezesha nchi kupata bidhaa . Ambazo haizitengenezi. Mbali na kusaidia kuwepo u...
Biashara ipi ina umuhimu mkubwa
kimataifa
x
4990_swa_1
4990_swa
Stawi za Nchi Zinazokua Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu huathirika. Na biashara ya kimataifa . Biashara hiyo inaweza kuwa inafanywa kwa uagizaji . Ama uuzaji wa bidhaa kwa nchi nyingine. Biashara ya kimataifa ina umuhimu mkubwa. Kwanza . Inawezesha nchi kupata bidhaa . Ambazo haizitengenezi. Mbali na kusaidia kuwepo u...
Japan na Korea zinaongoza katika utengenezaji wa bidhaa za zipi
elektoniki
x
4990_swa_2
4990_swa
Stawi za Nchi Zinazokua Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu huathirika. Na biashara ya kimataifa . Biashara hiyo inaweza kuwa inafanywa kwa uagizaji . Ama uuzaji wa bidhaa kwa nchi nyingine. Biashara ya kimataifa ina umuhimu mkubwa. Kwanza . Inawezesha nchi kupata bidhaa . Ambazo haizitengenezi. Mbali na kusaidia kuwepo u...
Kenya nayo ni maarufu wa uzalishaji wa majani ipi
Chai
x
4990_swa_3
4990_swa
Stawi za Nchi Zinazokua Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu huathirika. Na biashara ya kimataifa . Biashara hiyo inaweza kuwa inafanywa kwa uagizaji . Ama uuzaji wa bidhaa kwa nchi nyingine. Biashara ya kimataifa ina umuhimu mkubwa. Kwanza . Inawezesha nchi kupata bidhaa . Ambazo haizitengenezi. Mbali na kusaidia kuwepo u...
Urafiki haukosi nini
mikosi
x
4990_swa_4
4990_swa
Stawi za Nchi Zinazokua Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu huathirika. Na biashara ya kimataifa . Biashara hiyo inaweza kuwa inafanywa kwa uagizaji . Ama uuzaji wa bidhaa kwa nchi nyingine. Biashara ya kimataifa ina umuhimu mkubwa. Kwanza . Inawezesha nchi kupata bidhaa . Ambazo haizitengenezi. Mbali na kusaidia kuwepo u...
serikali inalinda viwanda vichanga kwa njia gani
Kwa kuweka ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.
x
4991_swa_0
4991_swa
Ugeni Shuleni Tulifika alfajiri na mapema baada ya kusafiri usiku kucha. Tulifahamishwa na mlinda lango kuwa sisi ndio tulikuwa wa kwanza. Tulikuwa ba furaha sifufu. Tuliwaona vijana wakiwa wanakimbia. Kama mbwa afukuzaye kitoweo. Walikuwa wakielekea darasani. Kwa vijana wengi. Ilikuwa ndio siku yao ya kwanza kufika pa...
Jambo lipi liwatia hofu vijana
Kuwa katika mazingira mapya
x
4991_swa_1
4991_swa
Ugeni Shuleni Tulifika alfajiri na mapema baada ya kusafiri usiku kucha. Tulifahamishwa na mlinda lango kuwa sisi ndio tulikuwa wa kwanza. Tulikuwa ba furaha sifufu. Tuliwaona vijana wakiwa wanakimbia. Kama mbwa afukuzaye kitoweo. Walikuwa wakielekea darasani. Kwa vijana wengi. Ilikuwa ndio siku yao ya kwanza kufika pa...
Vijana hawa walikadiria kukaa hapa kwa muda gani
Miaka minne
x
4991_swa_2
4991_swa
Ugeni Shuleni Tulifika alfajiri na mapema baada ya kusafiri usiku kucha. Tulifahamishwa na mlinda lango kuwa sisi ndio tulikuwa wa kwanza. Tulikuwa ba furaha sifufu. Tuliwaona vijana wakiwa wanakimbia. Kama mbwa afukuzaye kitoweo. Walikuwa wakielekea darasani. Kwa vijana wengi. Ilikuwa ndio siku yao ya kwanza kufika pa...
Vijana walikuwa wameandamana na nani
Wazazi wao
x
4991_swa_3
4991_swa
Ugeni Shuleni Tulifika alfajiri na mapema baada ya kusafiri usiku kucha. Tulifahamishwa na mlinda lango kuwa sisi ndio tulikuwa wa kwanza. Tulikuwa ba furaha sifufu. Tuliwaona vijana wakiwa wanakimbia. Kama mbwa afukuzaye kitoweo. Walikuwa wakielekea darasani. Kwa vijana wengi. Ilikuwa ndio siku yao ya kwanza kufika pa...
Vijana walisubiri nani kuwaelekeza siku ile
Mwalimu mkuu
x
4991_swa_4
4991_swa
Ugeni Shuleni Tulifika alfajiri na mapema baada ya kusafiri usiku kucha. Tulifahamishwa na mlinda lango kuwa sisi ndio tulikuwa wa kwanza. Tulikuwa ba furaha sifufu. Tuliwaona vijana wakiwa wanakimbia. Kama mbwa afukuzaye kitoweo. Walikuwa wakielekea darasani. Kwa vijana wengi. Ilikuwa ndio siku yao ya kwanza kufika pa...
Kengele iliyopigwa iliashiria nini
Mapumziko ya chai
x
4992_swa_0
4992_swa
UKANDAJI MWILI Je? Unajua kuwa ukandaji wa mwili. Imetumika kama njia mojawapo ya matibabu. Kutoka dahari. Watu wanaofahamika kutumia ukandaji. Kimatibabu kutoka jadi ni wahindi. Wachina. Wagiriki. Warumi. Na waafrika. Ukandaji. Ambao ni shughuli ya kusonga. Kusugua. Na kubinyabinya viungo vya mwili. Kwa mkono . Au mas...
Taja baadhi ya jamii zilizotumia ukandaji tangu jadi
Wahindi, wachina, wagiriki na warumi
x
4992_swa_1
4992_swa
UKANDAJI MWILI Je? Unajua kuwa ukandaji wa mwili. Imetumika kama njia mojawapo ya matibabu. Kutoka dahari. Watu wanaofahamika kutumia ukandaji. Kimatibabu kutoka jadi ni wahindi. Wachina. Wagiriki. Warumi. Na waafrika. Ukandaji. Ambao ni shughuli ya kusonga. Kusugua. Na kubinyabinya viungo vya mwili. Kwa mkono . Au mas...
Taja manufa moja ya ukandaji wa mwili
Hufungu vitundu vya ngozi ili kuonda sumu mwilini
x
4992_swa_2
4992_swa
UKANDAJI MWILI Je? Unajua kuwa ukandaji wa mwili. Imetumika kama njia mojawapo ya matibabu. Kutoka dahari. Watu wanaofahamika kutumia ukandaji. Kimatibabu kutoka jadi ni wahindi. Wachina. Wagiriki. Warumi. Na waafrika. Ukandaji. Ambao ni shughuli ya kusonga. Kusugua. Na kubinyabinya viungo vya mwili. Kwa mkono . Au mas...
Ni mafuta gani bora zaidi kwa ukandaji wa mwili
Ufuta au simsim
x
4992_swa_3
4992_swa
UKANDAJI MWILI Je? Unajua kuwa ukandaji wa mwili. Imetumika kama njia mojawapo ya matibabu. Kutoka dahari. Watu wanaofahamika kutumia ukandaji. Kimatibabu kutoka jadi ni wahindi. Wachina. Wagiriki. Warumi. Na waafrika. Ukandaji. Ambao ni shughuli ya kusonga. Kusugua. Na kubinyabinya viungo vya mwili. Kwa mkono . Au mas...
Ni nini haipendekezwi katika shughuli za ukandaji
Matumizi ya kitu chochote kama ungaunga kv huziba vitundu vya ngozi
x
4992_swa_4
4992_swa
UKANDAJI MWILI Je? Unajua kuwa ukandaji wa mwili. Imetumika kama njia mojawapo ya matibabu. Kutoka dahari. Watu wanaofahamika kutumia ukandaji. Kimatibabu kutoka jadi ni wahindi. Wachina. Wagiriki. Warumi. Na waafrika. Ukandaji. Ambao ni shughuli ya kusonga. Kusugua. Na kubinyabinya viungo vya mwili. Kwa mkono . Au mas...
Unaazia wapi katika shughuli za ukandaji mwili
Mikono
x
4994_swa_0
4994_swa
USHAIRI Katika karatasi ya tatu. Mtihani wa kidato cha nne. Huwa kuna swali la ushairi. Ambalo ni lazima kufanya mojawapo. Mwanafunzi anaweza kuyashughulikia mashairi haya yote. Ama akachagua shairi moja. Kwa kawaida. Mwanafunzi huhitajika kuwa. Amejimudu katika kuchambua mashairi . Ya aina na mikondo mbalimbali. Lakin...
Ushairi huwa katika karatasi gani ya mtihani
ya tatu
x
4994_swa_1
4994_swa
USHAIRI Katika karatasi ya tatu. Mtihani wa kidato cha nne. Huwa kuna swali la ushairi. Ambalo ni lazima kufanya mojawapo. Mwanafunzi anaweza kuyashughulikia mashairi haya yote. Ama akachagua shairi moja. Kwa kawaida. Mwanafunzi huhitajika kuwa. Amejimudu katika kuchambua mashairi . Ya aina na mikondo mbalimbali. Lakin...
Swali la kuandika ubeti kwa lugha ya nathari halikosi lini
kila mwaka
x
4994_swa_2
4994_swa
USHAIRI Katika karatasi ya tatu. Mtihani wa kidato cha nne. Huwa kuna swali la ushairi. Ambalo ni lazima kufanya mojawapo. Mwanafunzi anaweza kuyashughulikia mashairi haya yote. Ama akachagua shairi moja. Kwa kawaida. Mwanafunzi huhitajika kuwa. Amejimudu katika kuchambua mashairi . Ya aina na mikondo mbalimbali. Lakin...
Nani huhitajika kulielewa shairi lenyewe
mwanafunzi
x
4994_swa_3
4994_swa
USHAIRI Katika karatasi ya tatu. Mtihani wa kidato cha nne. Huwa kuna swali la ushairi. Ambalo ni lazima kufanya mojawapo. Mwanafunzi anaweza kuyashughulikia mashairi haya yote. Ama akachagua shairi moja. Kwa kawaida. Mwanafunzi huhitajika kuwa. Amejimudu katika kuchambua mashairi . Ya aina na mikondo mbalimbali. Lakin...
Wanafunzi hutatizika kuchambua nini
mashairi
x
4994_swa_4
4994_swa
USHAIRI Katika karatasi ya tatu. Mtihani wa kidato cha nne. Huwa kuna swali la ushairi. Ambalo ni lazima kufanya mojawapo. Mwanafunzi anaweza kuyashughulikia mashairi haya yote. Ama akachagua shairi moja. Kwa kawaida. Mwanafunzi huhitajika kuwa. Amejimudu katika kuchambua mashairi . Ya aina na mikondo mbalimbali. Lakin...
Mbona unastahili kushughulikia mashairi mepesi mepesi kabla ya mazito
ili kuweza kuchochea uandishi
x
4996_swa_0
4996_swa
Ripoti ya shughuli za chama cha kiswahili katika shule ya muhila. Utangulizi. Chama cha kiswahili. Kilianzishwa mwaka wa elfu mbili shuleni humu. Tangu mwaka huo. Chama hiki kimekuwa . Shughuli nyingi sana. Mwaka huu. Chama hiki kimefaulu kupata mafanikio . Makubwa zaidi. Kwa sababu hii. Usimamizi wa shuke ulionelea ku...
Chama cha Kiswahili kilianzishwa lini shuleni humu
mwaka wa elfu mbili
x
4996_swa_1
4996_swa
Ripoti ya shughuli za chama cha kiswahili katika shule ya muhila. Utangulizi. Chama cha kiswahili. Kilianzishwa mwaka wa elfu mbili shuleni humu. Tangu mwaka huo. Chama hiki kimekuwa . Shughuli nyingi sana. Mwaka huu. Chama hiki kimefaulu kupata mafanikio . Makubwa zaidi. Kwa sababu hii. Usimamizi wa shuke ulionelea ku...
Wanajopo saba walipewa jukumu la kufanya nini
utafiti
x
4996_swa_2
4996_swa
Ripoti ya shughuli za chama cha kiswahili katika shule ya muhila. Utangulizi. Chama cha kiswahili. Kilianzishwa mwaka wa elfu mbili shuleni humu. Tangu mwaka huo. Chama hiki kimekuwa . Shughuli nyingi sana. Mwaka huu. Chama hiki kimefaulu kupata mafanikio . Makubwa zaidi. Kwa sababu hii. Usimamizi wa shuke ulionelea ku...
Nani walishirikishwa kutoa maoni yao
wanachama
x
4996_swa_3
4996_swa
Ripoti ya shughuli za chama cha kiswahili katika shule ya muhila. Utangulizi. Chama cha kiswahili. Kilianzishwa mwaka wa elfu mbili shuleni humu. Tangu mwaka huo. Chama hiki kimekuwa . Shughuli nyingi sana. Mwaka huu. Chama hiki kimefaulu kupata mafanikio . Makubwa zaidi. Kwa sababu hii. Usimamizi wa shuke ulionelea ku...
Waliandika mchezo wa kuigiza wenye kichwa gani
Tunda Utundwe
x
4996_swa_4
4996_swa
Ripoti ya shughuli za chama cha kiswahili katika shule ya muhila. Utangulizi. Chama cha kiswahili. Kilianzishwa mwaka wa elfu mbili shuleni humu. Tangu mwaka huo. Chama hiki kimekuwa . Shughuli nyingi sana. Mwaka huu. Chama hiki kimefaulu kupata mafanikio . Makubwa zaidi. Kwa sababu hii. Usimamizi wa shuke ulionelea ku...
Mbona mchezo wa kuigiza ulinuiwa kuwahamasisha wanafunzi
ila waweze kutambua hila hizo
x
4998_swa_0
4998_swa
Taabu ya Maisha. Tom, jina alilolipenda sana, alizaliwa miaka ya tisini katika gatuzi la Kuwetu. Jimbo dogo la Mazingo. Kata na kata ndogo ya Mbugu na kijiji cha Tezo. Alisomea shule ya msingi ya Tezo. Alipofaulu, alijiunga na shule ya upili ya Tsunza, kwa changamoto si haba. Baada ya kujiunga ( mwishoni mwa muhula wa ...
Tom alizaliwa wapi
Katika jimbo la mazingo
x
4998_swa_1
4998_swa
Taabu ya Maisha. Tom, jina alilolipenda sana, alizaliwa miaka ya tisini katika gatuzi la Kuwetu. Jimbo dogo la Mazingo. Kata na kata ndogo ya Mbugu na kijiji cha Tezo. Alisomea shule ya msingi ya Tezo. Alipofaulu, alijiunga na shule ya upili ya Tsunza, kwa changamoto si haba. Baada ya kujiunga ( mwishoni mwa muhula wa ...
Tom alizaliwa lini
Miaka ya tisini
x
4998_swa_2
4998_swa
Taabu ya Maisha. Tom, jina alilolipenda sana, alizaliwa miaka ya tisini katika gatuzi la Kuwetu. Jimbo dogo la Mazingo. Kata na kata ndogo ya Mbugu na kijiji cha Tezo. Alisomea shule ya msingi ya Tezo. Alipofaulu, alijiunga na shule ya upili ya Tsunza, kwa changamoto si haba. Baada ya kujiunga ( mwishoni mwa muhula wa ...
Tom alijiunga na chuo kikuu kipi
Liwato
x
4998_swa_3
4998_swa
Taabu ya Maisha. Tom, jina alilolipenda sana, alizaliwa miaka ya tisini katika gatuzi la Kuwetu. Jimbo dogo la Mazingo. Kata na kata ndogo ya Mbugu na kijiji cha Tezo. Alisomea shule ya msingi ya Tezo. Alipofaulu, alijiunga na shule ya upili ya Tsunza, kwa changamoto si haba. Baada ya kujiunga ( mwishoni mwa muhula wa ...
Tom alisomea kozi gani chuoni
Ya ualimu
x
4998_swa_4
4998_swa
Taabu ya Maisha. Tom, jina alilolipenda sana, alizaliwa miaka ya tisini katika gatuzi la Kuwetu. Jimbo dogo la Mazingo. Kata na kata ndogo ya Mbugu na kijiji cha Tezo. Alisomea shule ya msingi ya Tezo. Alipofaulu, alijiunga na shule ya upili ya Tsunza, kwa changamoto si haba. Baada ya kujiunga ( mwishoni mwa muhula wa ...
Kwa nini Tom alisitisha masomo yake kwa muda
Ili atafuta mkono utakaomsaidia masomoni
x
5001_swa_0
5001_swa
UKIMWI Ukimwi ni ugonjwa uliovuma sana. Inasemekana gonjwa hili liliweza kutokea miaka hiyo ya awali. Mwanzo gonjwa hili lilikuwa likiwakula watu bila huruma. Liliacha wengi kukonda na kukondeana. Sisemi kama ng'onda. Je, umewahi jua Ukimwi unamanisha nini? Na je, unajua njia ya ukimwi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja h...
Ugonjwa wa ukimwi ulitokea lini
miaka hio ya awali
x
5001_swa_1
5001_swa
UKIMWI Ukimwi ni ugonjwa uliovuma sana. Inasemekana gonjwa hili liliweza kutokea miaka hiyo ya awali. Mwanzo gonjwa hili lilikuwa likiwakula watu bila huruma. Liliacha wengi kukonda na kukondeana. Sisemi kama ng'onda. Je, umewahi jua Ukimwi unamanisha nini? Na je, unajua njia ya ukimwi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja h...
Nani waliwekwa ndani ya miili yetu
askari
x
5001_swa_2
5001_swa
UKIMWI Ukimwi ni ugonjwa uliovuma sana. Inasemekana gonjwa hili liliweza kutokea miaka hiyo ya awali. Mwanzo gonjwa hili lilikuwa likiwakula watu bila huruma. Liliacha wengi kukonda na kukondeana. Sisemi kama ng'onda. Je, umewahi jua Ukimwi unamanisha nini? Na je, unajua njia ya ukimwi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja h...
Askari hao hulinda mwili kutokana na nini
magonjwa
x
5001_swa_3
5001_swa
UKIMWI Ukimwi ni ugonjwa uliovuma sana. Inasemekana gonjwa hili liliweza kutokea miaka hiyo ya awali. Mwanzo gonjwa hili lilikuwa likiwakula watu bila huruma. Liliacha wengi kukonda na kukondeana. Sisemi kama ng'onda. Je, umewahi jua Ukimwi unamanisha nini? Na je, unajua njia ya ukimwi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja h...
Mbona kina dada husema heri ukimwi kuliko mimba
ukimwi mtu hawezi jua uko nao
x