id
string
story_id
string
context
string
question
string
answer
string
paragraph_id
string
5220_swa_4
5220_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini. Kutokana na kilimo tunapata vyakula vya kila aina kama vile njungu, mahindi, maharagwe na mihogo. Kilimo kimechangia katika kuilisha wananchi wa taifa hili letu. Mavuno ya kilimo cha mimea yameweza kusafirishwa hadi kwenye masoko na kuweza kuuziwa watu...
Kwa nini kutunza vyakula
Ili viweze kusaidia
x
5221_swa_0
5221_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni kitu cha maana katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo husaidia vijana wadogo kuweza kupata kazi. Vijana hawaa wakipata kazi, wataacha kutumia mihadarati na pia kuacha uhalifu. Watu hupanda mimea mbalimbali katika mashamba yao ili kupata aina mingi ya vyakula. Wakulima pia hujihusisha pi...
Kilimo ni muhimu katika jamhuri ipi
Kenya
x
5221_swa_1
5221_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni kitu cha maana katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo husaidia vijana wadogo kuweza kupata kazi. Vijana hawaa wakipata kazi, wataacha kutumia mihadarati na pia kuacha uhalifu. Watu hupanda mimea mbalimbali katika mashamba yao ili kupata aina mingi ya vyakula. Wakulima pia hujihusisha pi...
Watu hupanda nini
Mimea
x
5221_swa_2

Wakulima hupeleka maziwa wapi
viwandani
x
5221_swa_3
5221_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni kitu cha maana katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo husaidia vijana wadogo kuweza kupata kazi. Vijana hawaa wakipata kazi, wataacha kutumia mihadarati na pia kuacha uhalifu. Watu hupanda mimea mbalimbali katika mashamba yao ili kupata aina mingi ya vyakula. Wakulima pia hujihusisha pi...
Ukulima huleta nini
Pesa
x
5221_swa_4

Ni vipi kilimo husaidia nchi kuwa na jina kubwa
Kwa kuuza mimea katika nchi za nje
x
5222_swa_0
5222_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Aslimia themanini ya watu nchini Kenya hutegemea kilimo. Kilimo ni muhimu sana kwa jamii. Kilimo huwezesha usambazaji wa vyakula katika vijijini mbali mbali. Usambazaji wa chakula husaidia watu katika jamii mbali mbali kuwa na afya nzuri. Kukiwa na chakula cha kutosha nchini, hakutakuwa na haja...
Asilimia ngapi nchini hutegemea kilimo
themanini
x
5222_swa_1
5222_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Aslimia themanini ya watu nchini Kenya hutegemea kilimo. Kilimo ni muhimu sana kwa jamii. Kilimo huwezesha usambazaji wa vyakula katika vijijini mbali mbali. Usambazaji wa chakula husaidia watu katika jamii mbali mbali kuwa na afya nzuri. Kukiwa na chakula cha kutosha nchini, hakutakuwa na haja...
Nini husambaza chakula jijini
kilimo
x
5222_swa_2
5222_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Aslimia themanini ya watu nchini Kenya hutegemea kilimo. Kilimo ni muhimu sana kwa jamii. Kilimo huwezesha usambazaji wa vyakula katika vijijini mbali mbali. Usambazaji wa chakula husaidia watu katika jamii mbali mbali kuwa na afya nzuri. Kukiwa na chakula cha kutosha nchini, hakutakuwa na haja...
Kuna upungufu wa kununua vifaa gani
vya kilimo
x
5222_swa_3
5222_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Aslimia themanini ya watu nchini Kenya hutegemea kilimo. Kilimo ni muhimu sana kwa jamii. Kilimo huwezesha usambazaji wa vyakula katika vijijini mbali mbali. Usambazaji wa chakula husaidia watu katika jamii mbali mbali kuwa na afya nzuri. Kukiwa na chakula cha kutosha nchini, hakutakuwa na haja...
Nani hupanda mti
mkulima
x
5222_swa_4

Pesa zinazoletwa nchini na kilimo hutumikaje
kwa ujenzi wa barabara na kulipa deni
x
5223_swa_0
5223_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo husaidia sana hapa nchini. Mwanzo, vyakula vyote tunavyokula hutoka kwa kilimo. Kwa hivyo, kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi hii yetu. Kilimo kimewawezesha watu wengi kupata kazi. Watu wengi wameweza kuajiriwa mashambani ili kusaidia katika shughuli za kilimo. Wengine wameweza kujiajiri ...
Chakula hutoka kwa nini
Kilimo
x
5223_swa_1

Wakulima hutoa nini wakienda kuuza
Ushuru
x
5223_swa_2
5223_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo husaidia sana hapa nchini. Mwanzo, vyakula vyote tunavyokula hutoka kwa kilimo. Kwa hivyo, kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi hii yetu. Kilimo kimewawezesha watu wengi kupata kazi. Watu wengi wameweza kuajiriwa mashambani ili kusaidia katika shughuli za kilimo. Wengine wameweza kujiajiri ...
Asili mia kubwa ya wananchi hunywa nini
Chai
x
5223_swa_3
5223_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo husaidia sana hapa nchini. Mwanzo, vyakula vyote tunavyokula hutoka kwa kilimo. Kwa hivyo, kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi hii yetu. Kilimo kimewawezesha watu wengi kupata kazi. Watu wengi wameweza kuajiriwa mashambani ili kusaidia katika shughuli za kilimo. Wengine wameweza kujiajiri ...
Kilimo hulisha nini
Familia
x
5223_swa_4
5223_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo husaidia sana hapa nchini. Mwanzo, vyakula vyote tunavyokula hutoka kwa kilimo. Kwa hivyo, kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi hii yetu. Kilimo kimewawezesha watu wengi kupata kazi. Watu wengi wameweza kuajiriwa mashambani ili kusaidia katika shughuli za kilimo. Wengine wameweza kujiajiri ...
Kwa nini vijana hawapaswi kusema hakuna kazi
Kwa vile wanafaa kujishughulisha na kazi ya kilimo
x
5224_swa_0
5224_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni sanaa au mtindo wa kiteknolojia unaoelezea ukulima na ufugaji wa mifugo. Kilimo kimeenea nchini na kuwapa wakulima faida kubwa. Wakulima wanafuga wanyama kama vile ngo'mbe, mbuzi, kondoo, kuku na wengi wengineo. Ngombe huwapa adinasi nyama, ngozi, maziwa na pembe zinazotumika kama al...
Kilimo huhusisha ufugaji wa nini
mifugo
x
5224_swa_1
5224_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni sanaa au mtindo wa kiteknolojia unaoelezea ukulima na ufugaji wa mifugo. Kilimo kimeenea nchini na kuwapa wakulima faida kubwa. Wakulima wanafuga wanyama kama vile ngo'mbe, mbuzi, kondoo, kuku na wengi wengineo. Ngombe huwapa adinasi nyama, ngozi, maziwa na pembe zinazotumika kama al...
Kilimo kimeenea wapi
nchini
x
5224_swa_2
5224_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni sanaa au mtindo wa kiteknolojia unaoelezea ukulima na ufugaji wa mifugo. Kilimo kimeenea nchini na kuwapa wakulima faida kubwa. Wakulima wanafuga wanyama kama vile ngo'mbe, mbuzi, kondoo, kuku na wengi wengineo. Ngombe huwapa adinasi nyama, ngozi, maziwa na pembe zinazotumika kama al...
Kilimo kimewapa nani faida kubwa
wakulima
x
5224_swa_3
5224_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni sanaa au mtindo wa kiteknolojia unaoelezea ukulima na ufugaji wa mifugo. Kilimo kimeenea nchini na kuwapa wakulima faida kubwa. Wakulima wanafuga wanyama kama vile ngo'mbe, mbuzi, kondoo, kuku na wengi wengineo. Ngombe huwapa adinasi nyama, ngozi, maziwa na pembe zinazotumika kama al...
Mazao na mifugo ni muhimu kwa maisha ya nani
binadamu
x
5224_swa_4
5224_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni sanaa au mtindo wa kiteknolojia unaoelezea ukulima na ufugaji wa mifugo. Kilimo kimeenea nchini na kuwapa wakulima faida kubwa. Wakulima wanafuga wanyama kama vile ngo'mbe, mbuzi, kondoo, kuku na wengi wengineo. Ngombe huwapa adinasi nyama, ngozi, maziwa na pembe zinazotumika kama al...
Pembe hutumika vipi
kama ala za muziki
x
5225_swa_0
5225_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Nchi ya Kenya inategemea kilimo kwa mambo mbali mbali na kusaidia nchi yetu kwa njia mbali mbali. Kwanza, kilimo husaidia watu na kazi kwa sababu ili kuwezesha kilimo kufanyika, lazima mtu apate wafanya kazi ili wamsaidie na kwa njia hiyo watu wengi wameweza kuajiriwa. Kilimo pia huwezesha nchi...
Nchi gani inategemea kilimo
Kenya
x
5225_swa_1
5225_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Nchi ya Kenya inategemea kilimo kwa mambo mbali mbali na kusaidia nchi yetu kwa njia mbali mbali. Kwanza, kilimo husaidia watu na kazi kwa sababu ili kuwezesha kilimo kufanyika, lazima mtu apate wafanya kazi ili wamsaidie na kwa njia hiyo watu wengi wameweza kuajiriwa. Kilimo pia huwezesha nchi...
Kilimo huwezesha nchi kupata nini
Pesa
x
5225_swa_2
5225_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Nchi ya Kenya inategemea kilimo kwa mambo mbali mbali na kusaidia nchi yetu kwa njia mbali mbali. Kwanza, kilimo husaidia watu na kazi kwa sababu ili kuwezesha kilimo kufanyika, lazima mtu apate wafanya kazi ili wamsaidie na kwa njia hiyo watu wengi wameweza kuajiriwa. Kilimo pia huwezesha nchi...
Kilimo husaidia nchi kwa kutupa nini
Chakula
x
5225_swa_3
5225_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Nchi ya Kenya inategemea kilimo kwa mambo mbali mbali na kusaidia nchi yetu kwa njia mbali mbali. Kwanza, kilimo husaidia watu na kazi kwa sababu ili kuwezesha kilimo kufanyika, lazima mtu apate wafanya kazi ili wamsaidie na kwa njia hiyo watu wengi wameweza kuajiriwa. Kilimo pia huwezesha nchi...
Kilimo ni njia mojawapo ya kupata nini
Raslimali
x
5225_swa_4
5225_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Nchi ya Kenya inategemea kilimo kwa mambo mbali mbali na kusaidia nchi yetu kwa njia mbali mbali. Kwanza, kilimo husaidia watu na kazi kwa sababu ili kuwezesha kilimo kufanyika, lazima mtu apate wafanya kazi ili wamsaidie na kwa njia hiyo watu wengi wameweza kuajiriwa. Kilimo pia huwezesha nchi...
Ni vipi kilimo hutumiwa katika viwanda
Kwa kutengeneza kemikali zinazotoka kwa maua
x
5226_swa_0
5226_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni jambo muhimu sana katika nchi yetu ya Kenya.Kilimo imetusaidia kufanya biashara nyingi kama vile kuuza matunda, mboga na kadhalika. Imetusaidia pia kupata mapato ya kila siku. Haswa watu ambao wana mashamba yao kupanda mimea tofauti tofauti kama vile maharagwe, sukuma wiki, ndegu, mat...
Ukulima ni nini katika nchi yetu
Jambo muhimu sana
x
5226_swa_1
5226_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni jambo muhimu sana katika nchi yetu ya Kenya.Kilimo imetusaidia kufanya biashara nyingi kama vile kuuza matunda, mboga na kadhalika. Imetusaidia pia kupata mapato ya kila siku. Haswa watu ambao wana mashamba yao kupanda mimea tofauti tofauti kama vile maharagwe, sukuma wiki, ndegu, mat...
Ukulima ni muhimu katika nchi gani
Nchi yetu Kenya
x
5226_swa_2
5226_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni jambo muhimu sana katika nchi yetu ya Kenya.Kilimo imetusaidia kufanya biashara nyingi kama vile kuuza matunda, mboga na kadhalika. Imetusaidia pia kupata mapato ya kila siku. Haswa watu ambao wana mashamba yao kupanda mimea tofauti tofauti kama vile maharagwe, sukuma wiki, ndegu, mat...
Ukulima umetusaidia kupata nini
Mapato
x
5226_swa_3
5226_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni jambo muhimu sana katika nchi yetu ya Kenya.Kilimo imetusaidia kufanya biashara nyingi kama vile kuuza matunda, mboga na kadhalika. Imetusaidia pia kupata mapato ya kila siku. Haswa watu ambao wana mashamba yao kupanda mimea tofauti tofauti kama vile maharagwe, sukuma wiki, ndegu, mat...
Ni nini kilichosaidia kupata lishe ya kila siku
Kilimo
x
5226_swa_4
5226_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni jambo muhimu sana katika nchi yetu ya Kenya.Kilimo imetusaidia kufanya biashara nyingi kama vile kuuza matunda, mboga na kadhalika. Imetusaidia pia kupata mapato ya kila siku. Haswa watu ambao wana mashamba yao kupanda mimea tofauti tofauti kama vile maharagwe, sukuma wiki, ndegu, mat...
Kuku husaidia kwa kitu gani
Mayai
x
5227_swa_0
5227_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni kazi iliyokuwa tangu zamani za mababu zetu. Kilimo ni mojawapo ya sekta muhimu humu nchini. Maisha ya mwanadamu hutegemea mimea ili kupumua na kupata hewa safi. Kilimo kinaweza kufanywa na mtu wa umri wowote awe mtoto, mzee, kijana na hata wamama wana haki ya kufanya kilimo na kuimar...
Kilimo ni kazi iliyokuweko tangu lini
Zamani
x
5227_swa_1
5227_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni kazi iliyokuwa tangu zamani za mababu zetu. Kilimo ni mojawapo ya sekta muhimu humu nchini. Maisha ya mwanadamu hutegemea mimea ili kupumua na kupata hewa safi. Kilimo kinaweza kufanywa na mtu wa umri wowote awe mtoto, mzee, kijana na hata wamama wana haki ya kufanya kilimo na kuimar...
Ni ipi mojawapo ya sekta muhimu
Kilimo
x
5227_swa_2
5227_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni kazi iliyokuwa tangu zamani za mababu zetu. Kilimo ni mojawapo ya sekta muhimu humu nchini. Maisha ya mwanadamu hutegemea mimea ili kupumua na kupata hewa safi. Kilimo kinaweza kufanywa na mtu wa umri wowote awe mtoto, mzee, kijana na hata wamama wana haki ya kufanya kilimo na kuimar...
Mtu mwenye mawazo ya kijinga na kipumbavu hufikiri kuwa kilimo ni cha kina nani
watu wasio na masomo
x
5227_swa_3
5227_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni kazi iliyokuwa tangu zamani za mababu zetu. Kilimo ni mojawapo ya sekta muhimu humu nchini. Maisha ya mwanadamu hutegemea mimea ili kupumua na kupata hewa safi. Kilimo kinaweza kufanywa na mtu wa umri wowote awe mtoto, mzee, kijana na hata wamama wana haki ya kufanya kilimo na kuimar...
Bila mkulima hakutakuwa na nini
Chakula
x
5227_swa_4
5227_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI. Kilimo ni kazi iliyokuwa tangu zamani za mababu zetu. Kilimo ni mojawapo ya sekta muhimu humu nchini. Maisha ya mwanadamu hutegemea mimea ili kupumua na kupata hewa safi. Kilimo kinaweza kufanywa na mtu wa umri wowote awe mtoto, mzee, kijana na hata wamama wana haki ya kufanya kilimo na kuimar...
Tukifanya kilimo tutaweza kufurahia matunda na nini
Kazi ya mikono yetu
x
5228_swa_0
5228_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya upanzi wa mimea, ufugaji wa wanyama na uvuvi wa samaki. Mara nyingi, kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wawanyama. Watu hupanda mimea na kuitunza hadi wakati wa kuvuna. Huu ndio mchakato wa ...
Kilimo ni uzalishaji wa nini
Mazao
x
5228_swa_1
5228_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya upanzi wa mimea, ufugaji wa wanyama na uvuvi wa samaki. Mara nyingi, kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wawanyama. Watu hupanda mimea na kuitunza hadi wakati wa kuvuna. Huu ndio mchakato wa ...
Watu hupanda nini
Mimea
x
5228_swa_2

Inatakiwa wakulima kupewa nini
Mikopo ya pesa
x
5228_swa_3
5228_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya upanzi wa mimea, ufugaji wa wanyama na uvuvi wa samaki. Mara nyingi, kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wawanyama. Watu hupanda mimea na kuitunza hadi wakati wa kuvuna. Huu ndio mchakato wa ...
Watu hupanda mimea na kuifanyia nini
Kuitunza
x
5228_swa_4
5228_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya upanzi wa mimea, ufugaji wa wanyama na uvuvi wa samaki. Mara nyingi, kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wawanyama. Watu hupanda mimea na kuitunza hadi wakati wa kuvuna. Huu ndio mchakato wa ...
Serikali inatakiwa kuipa kipaumbele sekta gani
Ya kilimo
x
5229_swa_0
5229_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni shughuli ya kulima. Kilimo kimeleta maendeleo mengi nchini kama vile kupanda kwa miti na mengineyo. Kilimo pia ni ufugaji wa wanyama. Kupandwa kwa miti kumeleta hewa nzuri nchini. Imefanya nchi kuwa kijani kibichi, ambayo huvutia watalii wengi. Miti pia ni makazi ya wanyama wa porini....
Kilimo ni nini
Shughuli ya kulima
x
5229_swa_1
5229_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni shughuli ya kulima. Kilimo kimeleta maendeleo mengi nchini kama vile kupanda kwa miti na mengineyo. Kilimo pia ni ufugaji wa wanyama. Kupandwa kwa miti kumeleta hewa nzuri nchini. Imefanya nchi kuwa kijani kibichi, ambayo huvutia watalii wengi. Miti pia ni makazi ya wanyama wa porini....
Kilimo kimeleta nini
Maendeleo mengi
x
5229_swa_2
5229_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni shughuli ya kulima. Kilimo kimeleta maendeleo mengi nchini kama vile kupanda kwa miti na mengineyo. Kilimo pia ni ufugaji wa wanyama. Kupandwa kwa miti kumeleta hewa nzuri nchini. Imefanya nchi kuwa kijani kibichi, ambayo huvutia watalii wengi. Miti pia ni makazi ya wanyama wa porini....
Kilimo pia ni ufugaji wa nini
Wanyama
x
5229_swa_3
5229_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni shughuli ya kulima. Kilimo kimeleta maendeleo mengi nchini kama vile kupanda kwa miti na mengineyo. Kilimo pia ni ufugaji wa wanyama. Kupandwa kwa miti kumeleta hewa nzuri nchini. Imefanya nchi kuwa kijani kibichi, ambayo huvutia watalii wengi. Miti pia ni makazi ya wanyama wa porini....
Kilimo kimesaidia wasiokuwa na kazi kupata nini
Kazi
x
5229_swa_4
5229_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo ni shughuli ya kulima. Kilimo kimeleta maendeleo mengi nchini kama vile kupanda kwa miti na mengineyo. Kilimo pia ni ufugaji wa wanyama. Kupandwa kwa miti kumeleta hewa nzuri nchini. Imefanya nchi kuwa kijani kibichi, ambayo huvutia watalii wengi. Miti pia ni makazi ya wanyama wa porini....
Wakulima wastahili heshima na nini
Kulipwa malipo yanayostahili
x
5231_swa_0
5231_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Naam, kilimo huwa na manufaa kadhaa nchini. Asilimia tisini ya watu nchini Kenya hutengemea kilimo ili kuinua uchumi wa nchi yetu. Kilimo huwezesha nchi yetu kupata lishe ambayo hupatikana kwa kiwango cha juu sana. Kilimo pia huwezesha nchi yetu kupata ushuru. Kilimo kimewapa ajira wakulima wad...
Ni asilimia gani hutegemea kilimo
90%
x
5231_swa_1
5231_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Naam, kilimo huwa na manufaa kadhaa nchini. Asilimia tisini ya watu nchini Kenya hutengemea kilimo ili kuinua uchumi wa nchi yetu. Kilimo huwezesha nchi yetu kupata lishe ambayo hupatikana kwa kiwango cha juu sana. Kilimo pia huwezesha nchi yetu kupata ushuru. Kilimo kimewapa ajira wakulima wad...
Kilimo huwezesha nchi yetu kupata nini
Lishe
x
5231_swa_2
5231_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Naam, kilimo huwa na manufaa kadhaa nchini. Asilimia tisini ya watu nchini Kenya hutengemea kilimo ili kuinua uchumi wa nchi yetu. Kilimo huwezesha nchi yetu kupata lishe ambayo hupatikana kwa kiwango cha juu sana. Kilimo pia huwezesha nchi yetu kupata ushuru. Kilimo kimewapa ajira wakulima wad...
Kilimo pia huwezesha nchi yetu kulipa nini
Ushuru
x
5231_swa_3
5231_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Naam, kilimo huwa na manufaa kadhaa nchini. Asilimia tisini ya watu nchini Kenya hutengemea kilimo ili kuinua uchumi wa nchi yetu. Kilimo huwezesha nchi yetu kupata lishe ambayo hupatikana kwa kiwango cha juu sana. Kilimo pia huwezesha nchi yetu kupata ushuru. Kilimo kimewapa ajira wakulima wad...
Nani aliye shujaa katika taifa letu
Profesa Wangari Maathai
x
5231_swa_4
5231_swa
UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Naam, kilimo huwa na manufaa kadhaa nchini. Asilimia tisini ya watu nchini Kenya hutengemea kilimo ili kuinua uchumi wa nchi yetu. Kilimo huwezesha nchi yetu kupata lishe ambayo hupatikana kwa kiwango cha juu sana. Kilimo pia huwezesha nchi yetu kupata ushuru. Kilimo kimewapa ajira wakulima wad...
Wangari Maathai alipanda nini
Miti mingi
x
5232_swa_0
5232_swa
FAIDA ZA KILIMO. Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini Kenya. Watu wengi wamejikita katika kilimo, hivyo basi tunaweza kusema kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Wakulima huweza kupanda mimea mbalimbali kama vile mboga, parachichi, machungwa, ndimu, maembe, mahindi, na kadhalika. Tukiwa shuleni, mwalimu w...
Nchini Kenya kuna faida nyingi za kitu gani
Kilimo
x
5232_swa_1
5232_swa
FAIDA ZA KILIMO. Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini Kenya. Watu wengi wamejikita katika kilimo, hivyo basi tunaweza kusema kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Wakulima huweza kupanda mimea mbalimbali kama vile mboga, parachichi, machungwa, ndimu, maembe, mahindi, na kadhalika. Tukiwa shuleni, mwalimu w...
Ni wapi kunapatikana faida nyingi za kilimo
Nchini Kenya
x
5232_swa_2
5232_swa
FAIDA ZA KILIMO. Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini Kenya. Watu wengi wamejikita katika kilimo, hivyo basi tunaweza kusema kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Wakulima huweza kupanda mimea mbalimbali kama vile mboga, parachichi, machungwa, ndimu, maembe, mahindi, na kadhalika. Tukiwa shuleni, mwalimu w...
Mwalimu wa kiswahili aliwaambia kuwa wangetembea wapi
Kwa mkulima mmoja
x
5232_swa_3
5232_swa
FAIDA ZA KILIMO. Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini Kenya. Watu wengi wamejikita katika kilimo, hivyo basi tunaweza kusema kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Wakulima huweza kupanda mimea mbalimbali kama vile mboga, parachichi, machungwa, ndimu, maembe, mahindi, na kadhalika. Tukiwa shuleni, mwalimu w...
Walisafiri kwa kitu gani
Gari moshi
x
5232_swa_4
5232_swa
FAIDA ZA KILIMO. Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini Kenya. Watu wengi wamejikita katika kilimo, hivyo basi tunaweza kusema kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Wakulima huweza kupanda mimea mbalimbali kama vile mboga, parachichi, machungwa, ndimu, maembe, mahindi, na kadhalika. Tukiwa shuleni, mwalimu w...
Mwenyewe aliwapeleka wapi
Kwa shamba lake
x
5233_swa_0
5233_swa
FAIDA ZA KILIMO Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi. Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidhaa...
Ni faida za nini zimesambaa humu nchini
Kilimo
x
5233_swa_1
5233_swa
FAIDA ZA KILIMO Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi. Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidhaa...
Mkulima hungojea nini
Mvua
x
5233_swa_2
5233_swa
FAIDA ZA KILIMO Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi. Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidhaa...
Faida ya kilimo ni muhimu kwa nani
Binadamu
x
5233_swa_3
5233_swa
FAIDA ZA KILIMO Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi. Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidhaa...
Kilimo husaidia kwa utunzaji wa nini
Mazingira
x
5233_swa_4
5233_swa
FAIDA ZA KILIMO Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi. Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidhaa...
Kwa nini mkulima atunze mazingira
Ili kupata manufaa kutoka kwa mimea
x
5234_swa_0
5234_swa
Ufahamu 1 Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile M...
Umaskini unakabili mataifa gani
yanayoendelea
x
5234_swa_1
5234_swa
Ufahamu 1 Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile M...
mataifa yanayoendelea yanapaswa kupambana na nini
umaskini
x
5234_swa_2
5234_swa
Ufahamu 1 Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile M...
Viwanda vingi nchini hutegemea kilimo na kuwalisha nani
wafanyakazi wake
x
5234_swa_3
5234_swa
Ufahamu 1 Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile M...
wakulima wengi hukimbilia mbolea za lini
za kisasa
x
5234_swa_4
5234_swa
Ufahamu 1 Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile M...
Mbona wataalamu hawaendi nyanjani kukutana na wakulima
kwa kuwa hawana usafiri
x
5235_swa_0
5235_swa
UFAHAMU 2 Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inakuwa...
Uhandisi ni ujuzi wa kuunda nini
mitambo
x
5235_swa_1
5235_swa
UFAHAMU 2 Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inakuwa...
Akina nyanya wanaweza kuzungumza na nani wakiwa mbali
wajukuu
x
5235_swa_2
5235_swa
UFAHAMU 2 Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inakuwa...
Mababu zetu wako wapi
vijijini
x
5235_swa_3
5235_swa
UFAHAMU 2 Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inakuwa...
Mabomu ya kitonoradi yaliyoangushwa Hiroshima na Nagasaki Japan lini
mwaka wa 1945
x
5235_swa_4
5235_swa
UFAHAMU 2 Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inakuwa...
Kwa nini teknolojia inahifadhi madini
inatumia malighafi ya kisasa
x
5236_swa_0
5236_swa
UFAHAMU 3 Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabadi...
Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la saa ngapi
asubuhi
x
5236_swa_1
5236_swa
UFAHAMU 3 Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabadi...
Askari wa jela walimpa nini alipokuwa akiondoka
tabasamu
x
5236_swa_2
5236_swa
UFAHAMU 3 Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabadi...
Safari ya nani kutoka gerezani ilikumbwa na mseto wa mawazo
Abdul
x
5236_swa_3
5236_swa
UFAHAMU 3 Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabadi...
Hakujua kama nani wangali hai
wazazi wake
x
5236_swa_4
5236_swa
UFAHAMU 3 Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabadi...
Mbona angehairisha hukumu yake
ili kufanya uchunguzi zaidi
x
5237_swa_0
5237_swa
UFAHAMU 4 Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina. Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufikiriw...
Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nini
nguo
x
5237_swa_1
5237_swa
UFAHAMU 4 Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina. Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufikiriw...
Nani anafaa kuzingatia sifa za vitambaa kabla ya kununua
mnunuzi
x
5237_swa_2
5237_swa
UFAHAMU 4 Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina. Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufikiriw...
Mtu anaweza kujua aina ya kitambaa ikiwa ana ujuzi gani
kushika au ‘kuhisi’
x
5237_swa_3
5237_swa
UFAHAMU 4 Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina. Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufikiriw...
Kwa mujibu wa sheria gani ,vibandiko vinapaswa kuwa sahihi
za nchi
x
5237_swa_4
5237_swa
UFAHAMU 4 Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina. Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufikiriw...
Mbona maelezo yanayopatikana kwenye vibandiko ni muhimu
hutoa maelezo muhimu kuhusu aina ya vitambaa
x
5238_swa_0
5238_swa
UFAHAMU 5 Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunenepa...
Afya ni nini
Taji
x
5238_swa_1

Licha ya lishe bora ni nini muhimu katika kudumisha afya njema
Michezo
x
5238_swa_2
5238_swa
UFAHAMU 5 Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunenepa...
Nini hunyong'onyea na kunenepa
Mwili
x
5238_swa_3
5238_swa
UFAHAMU 5 Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunenepa...
Ni kina nani hupata soko la bidhaa zao
Wenyeji
x
5238_swa_4
5238_swa
UFAHAMU 5 Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunenepa...
Michezo huyeyusha mafuta mwilini na kutukinga dhidi ya kitu gani
Maradhi
x
5239_swa_0
5239_swa
UFAHAMU 6 Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile. Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi y...
Lugha ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha nini
Mawasiliano
x
5239_swa_1
5239_swa
UFAHAMU 6 Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile. Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi y...
Kenya ni mfano mzuri wa taifa lenye lugha zinazozidi ngapi
40
x
5239_swa_2
5239_swa
UFAHAMU 6 Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile. Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi y...
Ni taifa gani lenye mchanganyiko wa tamaduni
Kenya
x
5239_swa_3
5239_swa
UFAHAMU 6 Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile. Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi y...
Ni nini hutueleza ujuzi au maarifa ya watu fulani
Lugha yao
x
5239_swa_4
5239_swa
UFAHAMU 6 Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile. Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi y...
Utamaduni wa jamii hautenganiki na nini
Lugha yake
x
5240_swa_0
5240_swa
UFAHAMU 7 Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao...
Kwa kawaida binadamu huishi kwa kutangamana na nani
Na binadamu wenzake
x
5240_swa_1
5240_swa
UFAHAMU 7 Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao...
Kwa kutangamana huku watu huathiriwa vipi
Kitabia
x
5240_swa_2
5240_swa
UFAHAMU 7 Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao...
Walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao ni kina nani
Vijana
x
5240_swa_3
5240_swa
UFAHAMU 7 Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao...
Ni kina nani husema kuwa kukabiliana na tatizo la shinikizo-rika si rahisi
Wataalamu wa saikolojia
x
5240_swa_4
5240_swa
UFAHAMU 7 Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao...
Kwa nini wataalamu wa saikolojia husema kuwa kukabiliana na tatizo la shinikizo-rika si rahisi
Kwa sababu shinikizo-rika huleta mtafaruku wa kinafsi akilini mwa anayeathiriwa
x
5241_swa_0
5241_swa
UFAHAMU 8 Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi? Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo h...
Ni vijana wangapi walinaswa
300
x
5241_swa_1
5241_swa
UFAHAMU 8 Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi? Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo h...
vijana walivaa mavazi gani
Mafupi
x
5241_swa_2
5241_swa
UFAHAMU 8 Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi? Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo h...
Visa vimekuwa kawaida mji upi
Nairobi
x
5241_swa_3
5241_swa
UFAHAMU 8 Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi? Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo h...
Mwigo ulikuwa upi
Kishetani
x