id string | story_id string | context string | question string | answer string | paragraph_id string |
|---|---|---|---|---|---|
5198_swa_4 | 5198_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu Mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, wamilu kiranja mkuu, naibu wa kiranja mkuu, viranja na wanafunzi wote kwa jumla, hamjambo? Natumai nyote mwazima na buheri wa afya. Bila kupoteza nukta wala sekunde hata moja, wacha nilengee mada. Elimu ni muhimu katika maisha ya adinasi yeyote yule. Elimu ni muhimu... | Kwa nini dawa hutengenezwa | ili kupigana na magonjwa sugu | x |
5200_swa_0 | 5200_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu ya mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wote hamjambo? Nimesimama mbele yenu siku ya leo ili nieleze wanafunzi wenzangu umuhimu wa elimu ili waendelee na masomo. Elimu ni jambo ambalo mtu hufanya ili aisaidie maishani yake. Mwanzo siku hizi huwezi pata kazi nzuri kama huna elimu. Kama huna elim... | Jambo ambalo mtu hufanya ili ajisaidie maishani huitwa nini | Elimu | x |
5200_swa_1 | 5200_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu ya mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wote hamjambo? Nimesimama mbele yenu siku ya leo ili nieleze wanafunzi wenzangu umuhimu wa elimu ili waendelee na masomo. Elimu ni jambo ambalo mtu hufanya ili aisaidie maishani yake. Mwanzo siku hizi huwezi pata kazi nzuri kama huna elimu. Kama huna elim... | Mtu hawezi kupata nini kama hana elimu | Kazi nzuri | x |
5200_swa_2 | 5200_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu ya mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wote hamjambo? Nimesimama mbele yenu siku ya leo ili nieleze wanafunzi wenzangu umuhimu wa elimu ili waendelee na masomo. Elimu ni jambo ambalo mtu hufanya ili aisaidie maishani yake. Mwanzo siku hizi huwezi pata kazi nzuri kama huna elimu. Kama huna elim... | Mtu anaweza kuwa mwizi na kufanya ubaguzi ili kupata nini | Hela | x |
5200_swa_3 | 5200_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu ya mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wote hamjambo? Nimesimama mbele yenu siku ya leo ili nieleze wanafunzi wenzangu umuhimu wa elimu ili waendelee na masomo. Elimu ni jambo ambalo mtu hufanya ili aisaidie maishani yake. Mwanzo siku hizi huwezi pata kazi nzuri kama huna elimu. Kama huna elim... | Tunafaa kujitahidi na kusoma vipi | Kwa bidii | x |
5200_swa_4 | 5200_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu ya mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wote hamjambo? Nimesimama mbele yenu siku ya leo ili nieleze wanafunzi wenzangu umuhimu wa elimu ili waendelee na masomo. Elimu ni jambo ambalo mtu hufanya ili aisaidie maishani yake. Mwanzo siku hizi huwezi pata kazi nzuri kama huna elimu. Kama huna elim... | Mbona msemaji awaelezee umuhimu wa elimu | Ili waendelee na masomo | x |
5202_swa_0 | 5202_swa | Mwalimu mkuu, naibu wake, mwenyekiti wa kamati ya shule hi,i mwalimu, viranja na wanafunzi kwa jumla asalaam aleikum? Nampa pongezi za dhati mwalimu mkuu na mwenyekiti wa kamati ya wazazi kunialika hapa ili nije kuwafunza mengi kuhusu kuzuia kuenea kwa maradhi sugu ya Ukimwi. Mimi ni daktari kutoka jiji kuu la Nairobi... | Alimpa pongezi mwalimu gani | mkuu | x |
5202_swa_1 | 5202_swa | Mwalimu mkuu, naibu wake, mwenyekiti wa kamati ya shule hi,i mwalimu, viranja na wanafunzi kwa jumla asalaam aleikum? Nampa pongezi za dhati mwalimu mkuu na mwenyekiti wa kamati ya wazazi kunialika hapa ili nije kuwafunza mengi kuhusu kuzuia kuenea kwa maradhi sugu ya Ukimwi. Mimi ni daktari kutoka jiji kuu la Nairobi... | Aliwafunza kuhusu kuenea kwa maradi gani | ya Ukimwi | x |
5202_swa_2 | 5202_swa | Mwalimu mkuu, naibu wake, mwenyekiti wa kamati ya shule hi,i mwalimu, viranja na wanafunzi kwa jumla asalaam aleikum? Nampa pongezi za dhati mwalimu mkuu na mwenyekiti wa kamati ya wazazi kunialika hapa ili nije kuwafunza mengi kuhusu kuzuia kuenea kwa maradhi sugu ya Ukimwi. Mimi ni daktari kutoka jiji kuu la Nairobi... | Kinga ni bora kuliko nini | tiba | x |
5202_swa_3 | 5202_swa | Mwalimu mkuu, naibu wake, mwenyekiti wa kamati ya shule hi,i mwalimu, viranja na wanafunzi kwa jumla asalaam aleikum? Nampa pongezi za dhati mwalimu mkuu na mwenyekiti wa kamati ya wazazi kunialika hapa ili nije kuwafunza mengi kuhusu kuzuia kuenea kwa maradhi sugu ya Ukimwi. Mimi ni daktari kutoka jiji kuu la Nairobi... | Nani wana tabia ya ngono | vijana | x |
5202_swa_4 | 5202_swa | Mwalimu mkuu, naibu wake, mwenyekiti wa kamati ya shule hi,i mwalimu, viranja na wanafunzi kwa jumla asalaam aleikum? Nampa pongezi za dhati mwalimu mkuu na mwenyekiti wa kamati ya wazazi kunialika hapa ili nije kuwafunza mengi kuhusu kuzuia kuenea kwa maradhi sugu ya Ukimwi. Mimi ni daktari kutoka jiji kuu la Nairobi... | Mbona tutumie njia mahususi | ili kuuzima ukimwi | x |
5203_swa_0 | 5203_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wenzangu na wanafunzi, hamjamboni? Naomba mnipe sikio lenu kunisikiliza kwa sababu nina maneno machache ya kuwaambia na ambayo ni ya muhimu sana. La kwanza ningependa kuwaambia kuwa elimu ni kitu cha maana sana maishani mwetu. Hutuwezesha kujua madhara za madawa ya ku... | Ni nini kitu ya maana maishani | Elimu | x |
5203_swa_1 | 5203_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wenzangu na wanafunzi, hamjamboni? Naomba mnipe sikio lenu kunisikiliza kwa sababu nina maneno machache ya kuwaambia na ambayo ni ya muhimu sana. La kwanza ningependa kuwaambia kuwa elimu ni kitu cha maana sana maishani mwetu. Hutuwezesha kujua madhara za madawa ya ku... | Nani amekuwa kama wendawazimu kwa sababu ya dawa za kulevya | Vijana | x |
5203_swa_2 | 5203_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wenzangu na wanafunzi, hamjamboni? Naomba mnipe sikio lenu kunisikiliza kwa sababu nina maneno machache ya kuwaambia na ambayo ni ya muhimu sana. La kwanza ningependa kuwaambia kuwa elimu ni kitu cha maana sana maishani mwetu. Hutuwezesha kujua madhara za madawa ya ku... | Ni ninimuhimu sana maishani | Masomo | x |
5203_swa_3 | 5203_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wenzangu na wanafunzi, hamjamboni? Naomba mnipe sikio lenu kunisikiliza kwa sababu nina maneno machache ya kuwaambia na ambayo ni ya muhimu sana. La kwanza ningependa kuwaambia kuwa elimu ni kitu cha maana sana maishani mwetu. Hutuwezesha kujua madhara za madawa ya ku... | Wazee na vijana huleta nini | ukimwi mtu hawezi jua uko nao | x |
5203_swa_4 | 5203_swa | HOTUBA Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wenzangu na wanafunzi, hamjamboni? Naomba mnipe sikio lenu kunisikiliza kwa sababu nina maneno machache ya kuwaambia na ambayo ni ya muhimu sana. La kwanza ningependa kuwaambia kuwa elimu ni kitu cha maana sana maishani mwetu. Hutuwezesha kujua madhara za madawa ya ku... | Kwa nini hakutaka kuonana na mama yake | Alikuwa mja mzito | x |
5204_swa_0 | 5204_swa | Umealikwa kuwatubia wanafunzi kuhusu umuhimu wa elimu. "Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Kwa majina ni JESSICAH WANGU niko kidato cha kwanza. Nachukua fursa hii kuwaelezea umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanipa masikio yenu yote kunisikiza na mtilie maanani mamb... | Jessicah ako kidato kipi | cha kwanza | x |
5204_swa_1 | 5204_swa | Umealikwa kuwatubia wanafunzi kuhusu umuhimu wa elimu. "Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Kwa majina ni JESSICAH WANGU niko kidato cha kwanza. Nachukua fursa hii kuwaelezea umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanipa masikio yenu yote kunisikiza na mtilie maanani mamb... | Jessicah anawaelezea umuhimu wa nini | elimu | x |
5204_swa_2 | 5204_swa | Umealikwa kuwatubia wanafunzi kuhusu umuhimu wa elimu. "Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Kwa majina ni JESSICAH WANGU niko kidato cha kwanza. Nachukua fursa hii kuwaelezea umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanipa masikio yenu yote kunisikiza na mtilie maanani mamb... | Elimu ni nini ya maisha | binadamu | x |
5204_swa_3 | 5204_swa | Umealikwa kuwatubia wanafunzi kuhusu umuhimu wa elimu. "Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Kwa majina ni JESSICAH WANGU niko kidato cha kwanza. Nachukua fursa hii kuwaelezea umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanipa masikio yenu yote kunisikiza na mtilie maanani mamb... | Elimu uongezea mtu nini | akili | x |
5204_swa_4 | 5204_swa | Umealikwa kuwatubia wanafunzi kuhusu umuhimu wa elimu. "Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Kwa majina ni JESSICAH WANGU niko kidato cha kwanza. Nachukua fursa hii kuwaelezea umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanipa masikio yenu yote kunisikiza na mtilie maanani mamb... | Ni vipi elimu ina ongeza mtu akili | Kwa kumwezesha kujijua na kuheshimu wakubwa kwa wadogo | x |
5205_swa_0 | 5205_swa | Mwalimu mkuu, naibu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wote, hamjambo? Nachukua fursa hii kuwahutubia umuhimu wa elimu. Wanafunzi wenzangu elimu ni kitu cha maana maishani. Mzazi anaweza kosa kukupa vitu vingi unavyo hitaji duniani lakini hawezi kosa kukupa elimu. Mumewaona watu ambao walipuuza elimu na kupotea shule.... | Mwandishi anahutubia kuhusu umuhimu wa nini | elimu | x |
5205_swa_1 | 5205_swa | Mwalimu mkuu, naibu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wote, hamjambo? Nachukua fursa hii kuwahutubia umuhimu wa elimu. Wanafunzi wenzangu elimu ni kitu cha maana maishani. Mzazi anaweza kosa kukupa vitu vingi unavyo hitaji duniani lakini hawezi kosa kukupa elimu. Mumewaona watu ambao walipuuza elimu na kupotea shule.... | Mzazi humpa mtu nini | elimu | x |
5205_swa_2 | 5205_swa | Mwalimu mkuu, naibu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wote, hamjambo? Nachukua fursa hii kuwahutubia umuhimu wa elimu. Wanafunzi wenzangu elimu ni kitu cha maana maishani. Mzazi anaweza kosa kukupa vitu vingi unavyo hitaji duniani lakini hawezi kosa kukupa elimu. Mumewaona watu ambao walipuuza elimu na kupotea shule.... | Wanao hangaika kijiji wamekosa nini | elimu | x |
5205_swa_3 | 5205_swa | Mwalimu mkuu, naibu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wote, hamjambo? Nachukua fursa hii kuwahutubia umuhimu wa elimu. Wanafunzi wenzangu elimu ni kitu cha maana maishani. Mzazi anaweza kosa kukupa vitu vingi unavyo hitaji duniani lakini hawezi kosa kukupa elimu. Mumewaona watu ambao walipuuza elimu na kupotea shule.... | Elimu umpatia mtu nini | kazi | x |
5205_swa_4 | 5205_swa | Mwalimu mkuu, naibu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wote, hamjambo? Nachukua fursa hii kuwahutubia umuhimu wa elimu. Wanafunzi wenzangu elimu ni kitu cha maana maishani. Mzazi anaweza kosa kukupa vitu vingi unavyo hitaji duniani lakini hawezi kosa kukupa elimu. Mumewaona watu ambao walipuuza elimu na kupotea shule.... | Maisha yatakuwa sawa kivipi | kwa kupenda elimu na huwaheshimu walimu | x |
5206_swa_0 | 5206_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, Walimu, Viranja wakuu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuwashukuru wote kwa kuhudhuria mkutano huu kwa pamoja. Nina furaha tele kusimama mbele yenu kutoa jambo muhimu sana katika nchi yetu pamoja na shule zote kwenye kaunti yetu. Ninashukur... | Ni hotuba kuhusu nini | Umuhimu wa elimu | x |
5206_swa_1 | 5206_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, Walimu, Viranja wakuu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuwashukuru wote kwa kuhudhuria mkutano huu kwa pamoja. Nina furaha tele kusimama mbele yenu kutoa jambo muhimu sana katika nchi yetu pamoja na shule zote kwenye kaunti yetu. Ninashukur... | Msemaji angependa kuwashukuru wote kwa kuhudhuria nini | mkutano | x |
5206_swa_2 | 5206_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, Walimu, Viranja wakuu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuwashukuru wote kwa kuhudhuria mkutano huu kwa pamoja. Nina furaha tele kusimama mbele yenu kutoa jambo muhimu sana katika nchi yetu pamoja na shule zote kwenye kaunti yetu. Ninashukur... | Msemaji ana nini | Furaha tele | x |
5206_swa_3 | 5206_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, Walimu, Viranja wakuu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuwashukuru wote kwa kuhudhuria mkutano huu kwa pamoja. Nina furaha tele kusimama mbele yenu kutoa jambo muhimu sana katika nchi yetu pamoja na shule zote kwenye kaunti yetu. Ninashukur... | Ni kweli kwamba elimu ni kama nini | Mwangaza wa maisha | x |
5206_swa_4 | 5206_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, Walimu, Viranja wakuu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuwashukuru wote kwa kuhudhuria mkutano huu kwa pamoja. Nina furaha tele kusimama mbele yenu kutoa jambo muhimu sana katika nchi yetu pamoja na shule zote kwenye kaunti yetu. Ninashukur... | Hakuna nini bila elimu | Maisha | x |
5207_swa_0 | 5207_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila nia kiuchumi, kisayansi katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifidhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahili ... | Nini msingi wa maendeleo | elimu | x |
5207_swa_1 | 5207_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila nia kiuchumi, kisayansi katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifidhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahili ... | Mwalimu mkuu gani alifunza waliohudhuria | wa Kiswahili | x |
5207_swa_2 | 5207_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila nia kiuchumi, kisayansi katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifidhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahili ... | wahenga walisema nani afumbiwe fumbo | mjinga | x |
5207_swa_3 | 5207_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila nia kiuchumi, kisayansi katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifidhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahili ... | Maandishi mengi huwa na uzito wa nini | maana | x |
5207_swa_4 | 5207_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila nia kiuchumi, kisayansi katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifidhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahili ... | Mbona wanafunzi hufunzwa kusoma na kuandika | kusudi waweze kuchambua maandishi | x |
5208_swa_0 | 5208_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu mwalimu mkuu, mwalimu wa zamri, walimu wengine na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Sote twajuwa kwamba wahenga na wahenguzi hawakukosea waliposema kwamba elimu ni bohari na halina mwisho. Kwanza ningependa kuwashukuru kwa kujitolea kwenu na kufika kwenu na nyote nawahongera mno. Tunapo... | Wahenga walisema elimu ni nini | bahari | x |
5208_swa_1 | 5208_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu mwalimu mkuu, mwalimu wa zamri, walimu wengine na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Sote twajuwa kwamba wahenga na wahenguzi hawakukosea waliposema kwamba elimu ni bohari na halina mwisho. Kwanza ningependa kuwashukuru kwa kujitolea kwenu na kufika kwenu na nyote nawahongera mno. Tunapo... | Waliombwa wasimame wamshukuru nani | Mungu | x |
5208_swa_2 | 5208_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu mwalimu mkuu, mwalimu wa zamri, walimu wengine na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Sote twajuwa kwamba wahenga na wahenguzi hawakukosea waliposema kwamba elimu ni bohari na halina mwisho. Kwanza ningependa kuwashukuru kwa kujitolea kwenu na kufika kwenu na nyote nawahongera mno. Tunapo... | Watu gani hutaabika mno | wasio na elimu | x |
5208_swa_3 | 5208_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu mwalimu mkuu, mwalimu wa zamri, walimu wengine na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Sote twajuwa kwamba wahenga na wahenguzi hawakukosea waliposema kwamba elimu ni bohari na halina mwisho. Kwanza ningependa kuwashukuru kwa kujitolea kwenu na kufika kwenu na nyote nawahongera mno. Tunapo... | Vidole vingapi havivunji chawa | kimoja | x |
5208_swa_4 | 5208_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu mwalimu mkuu, mwalimu wa zamri, walimu wengine na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Sote twajuwa kwamba wahenga na wahenguzi hawakukosea waliposema kwamba elimu ni bohari na halina mwisho. Kwanza ningependa kuwashukuru kwa kujitolea kwenu na kufika kwenu na nyote nawahongera mno. Tunapo... | Mbona aliwashukuru | kwa kumtegea sikio | x |
5209_swa_0 | 5209_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjamboni? Suala ningependa kuongelea ni umuhimu wa elimu. Ni muhimu wanafunzi wenzangu ningependa kuwaambia ya kwamba elimu ni muhimu maishani. Basi usiposoma kwa bidii basi utakuwa ukienda dukani na shilingi hamsini. Matokeo yetu darasani has... | Ni nini kilicho na umuhimu maishani | Elimu | x |
5209_swa_1 | 5209_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjamboni? Suala ningependa kuongelea ni umuhimu wa elimu. Ni muhimu wanafunzi wenzangu ningependa kuwaambia ya kwamba elimu ni muhimu maishani. Basi usiposoma kwa bidii basi utakuwa ukienda dukani na shilingi hamsini. Matokeo yetu darasani has... | Ukosefu wa nidhamu ni kupiga kelele wapi | Darasani | x |
5209_swa_2 | 5209_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjamboni? Suala ningependa kuongelea ni umuhimu wa elimu. Ni muhimu wanafunzi wenzangu ningependa kuwaambia ya kwamba elimu ni muhimu maishani. Basi usiposoma kwa bidii basi utakuwa ukienda dukani na shilingi hamsini. Matokeo yetu darasani has... | Ni nini hakijakuwa cha kuridhisha | Masomo yetu darasani | x |
5209_swa_3 | 5209_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjamboni? Suala ningependa kuongelea ni umuhimu wa elimu. Ni muhimu wanafunzi wenzangu ningependa kuwaambia ya kwamba elimu ni muhimu maishani. Basi usiposoma kwa bidii basi utakuwa ukienda dukani na shilingi hamsini. Matokeo yetu darasani has... | Kila mwanafunzi awajibike na kutenda nini | Anayostahili kutenda | x |
5209_swa_4 | 5209_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjamboni? Suala ningependa kuongelea ni umuhimu wa elimu. Ni muhimu wanafunzi wenzangu ningependa kuwaambia ya kwamba elimu ni muhimu maishani. Basi usiposoma kwa bidii basi utakuwa ukienda dukani na shilingi hamsini. Matokeo yetu darasani has... | Nini matumaini ya mnenaji | Kuwa kila mwanafunzi atawajibika | x |
5210_swa_0 | 5210_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyuoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila njia kiuchumi, kisayansi, katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifadhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahi... | Ni nini msingi wa maendeleo | Elimu | x |
5210_swa_1 | 5210_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyuoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila njia kiuchumi, kisayansi, katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifadhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahi... | Nini hurahisisha mawasiliano | Elimu | x |
5210_swa_2 | 5210_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyuoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila njia kiuchumi, kisayansi, katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifadhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahi... | Mwenye macho haambiwi nini | Tazama | x |
5210_swa_3 | 5210_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyuoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila njia kiuchumi, kisayansi, katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifadhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahi... | Fumbato mfumbie nani | Mjinga | x |
5210_swa_4 | 5210_swa | UMUHIMU WA ELIMU Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana masomo, taaluma, shuleni, vyuoni, maishani. Ni dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo. Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidi mtu kwa kila njia kiuchumi, kisayansi, katika utafiti wa aina tofauti na kwa kuhifadhi jamii kwa jumla. Mwalimu mkuu wa Kiswahi... | Kwa nini asiyekuwa na masomo hawezi kujenga taifa | Kwa vile asiyejua kusoma hawezi kuelewa | x |
5211_swa_0 | 5211_swa | Hamjambo? Asanteni kwa kunipa hii nafasi. Nataka kuwarudishia shukrani washikazi wa elimu, walimu wageni wa siku ju ya leo, wazazi pamoja na wanafunzi wenzangu, karibuni sana. Huu ni mkutano wa umuhimu wa elimu. Sina mambo mengi ya kuzungumza kwa vile kila mtu lazima atoe mashauri yake kuhusu elimu. Elimu ni kitu muhim... | Asanteni kwa kunipa nii | Hii nafasi | x |
5211_swa_1 | 5211_swa | Hamjambo? Asanteni kwa kunipa hii nafasi. Nataka kuwarudishia shukrani washikazi wa elimu, walimu wageni wa siku ju ya leo, wazazi pamoja na wanafunzi wenzangu, karibuni sana. Huu ni mkutano wa umuhimu wa elimu. Sina mambo mengi ya kuzungumza kwa vile kila mtu lazima atoe mashauri yake kuhusu elimu. Elimu ni kitu muhim... | Sina nini cha kuzungumza | Mambo mengi | x |
5211_swa_2 | 5211_swa | Hamjambo? Asanteni kwa kunipa hii nafasi. Nataka kuwarudishia shukrani washikazi wa elimu, walimu wageni wa siku ju ya leo, wazazi pamoja na wanafunzi wenzangu, karibuni sana. Huu ni mkutano wa umuhimu wa elimu. Sina mambo mengi ya kuzungumza kwa vile kila mtu lazima atoe mashauri yake kuhusu elimu. Elimu ni kitu muhim... | Ingewezekana tungeinia shuleni saa ngapi | Mbili | x |
5211_swa_3 | 5211_swa | Hamjambo? Asanteni kwa kunipa hii nafasi. Nataka kuwarudishia shukrani washikazi wa elimu, walimu wageni wa siku ju ya leo, wazazi pamoja na wanafunzi wenzangu, karibuni sana. Huu ni mkutano wa umuhimu wa elimu. Sina mambo mengi ya kuzungumza kwa vile kila mtu lazima atoe mashauri yake kuhusu elimu. Elimu ni kitu muhim... | Tungeondolewa nini | Karo ya shule | x |
5211_swa_4 | 5211_swa | Hamjambo? Asanteni kwa kunipa hii nafasi. Nataka kuwarudishia shukrani washikazi wa elimu, walimu wageni wa siku ju ya leo, wazazi pamoja na wanafunzi wenzangu, karibuni sana. Huu ni mkutano wa umuhimu wa elimu. Sina mambo mengi ya kuzungumza kwa vile kila mtu lazima atoe mashauri yake kuhusu elimu. Elimu ni kitu muhim... | Kwa nini tuondolewe karo ya shule | Kwa sababu wazazi wetu huishi kwenye majumba ya kukodesha | x |
5212_swa_0 | 5212_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mgeni wa heshima, mwalimu mkuu, naibu wa malimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjamboni? Nina furaha furifuri kwa kunipa fursa hii kuwahutubia kuhusu umuhimu wa elimu. Bila kupoteza muda,ningependa kuwaeleza kuwa elimu ni kitu cha maana sana katika maisha ya binadamu kwani hutusaidia kwa njia t... | Umealikwa kuhutubu kuhusu elimu na nini | nidhamu | x |
5212_swa_1 | 5212_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mgeni wa heshima, mwalimu mkuu, naibu wa malimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjamboni? Nina furaha furifuri kwa kunipa fursa hii kuwahutubia kuhusu umuhimu wa elimu. Bila kupoteza muda,ningependa kuwaeleza kuwa elimu ni kitu cha maana sana katika maisha ya binadamu kwani hutusaidia kwa njia t... | Anamshukuru nani kwa kumpa ruhusa | mwalimu mkuu | x |
5212_swa_2 | 5212_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mgeni wa heshima, mwalimu mkuu, naibu wa malimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjamboni? Nina furaha furifuri kwa kunipa fursa hii kuwahutubia kuhusu umuhimu wa elimu. Bila kupoteza muda,ningependa kuwaeleza kuwa elimu ni kitu cha maana sana katika maisha ya binadamu kwani hutusaidia kwa njia t... | Walimu walimsaidia katika muhula huu na gani | uliopita | x |
5212_swa_3 | 5212_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mgeni wa heshima, mwalimu mkuu, naibu wa malimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjamboni? Nina furaha furifuri kwa kunipa fursa hii kuwahutubia kuhusu umuhimu wa elimu. Bila kupoteza muda,ningependa kuwaeleza kuwa elimu ni kitu cha maana sana katika maisha ya binadamu kwani hutusaidia kwa njia t... | Nani atawabariki | Mungu | x |
5212_swa_4 | 5212_swa | UMUHIMU WA ELIMU Mgeni wa heshima, mwalimu mkuu, naibu wa malimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjamboni? Nina furaha furifuri kwa kunipa fursa hii kuwahutubia kuhusu umuhimu wa elimu. Bila kupoteza muda,ningependa kuwaeleza kuwa elimu ni kitu cha maana sana katika maisha ya binadamu kwani hutusaidia kwa njia t... | Mbona alipewa nafasi | ili awahutubie kuhusu umuhimu wa masomo | x |
5213_swa_0 | 5213_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Mwalimu mkuu, Naibu wa mwalimu, mwalimu mwandamizi, wanafunzi wa darasa la nane, wanafunzi wa darasa la saba na wanafunzi wenzangu wote kwa jumla hamjambo? Nimechukua fursa kuwakaribisha na kuwaeleza ya kwamba siku hizi wanafunzi wameingiza katika vikundi vya watu wabaya na wengine hata kwa vikundi ya... | Umealikwa kuhutubia nani | wanafunzi | x |
5213_swa_1 | 5213_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Mwalimu mkuu, Naibu wa mwalimu, mwalimu mwandamizi, wanafunzi wa darasa la nane, wanafunzi wa darasa la saba na wanafunzi wenzangu wote kwa jumla hamjambo? Nimechukua fursa kuwakaribisha na kuwaeleza ya kwamba siku hizi wanafunzi wameingiza katika vikundi vya watu wabaya na wengine hata kwa vikundi ya... | Siku hizi wanafunzi wamejiingiza katika vikundi vya watu gani | wabaya | x |
5213_swa_2 | 5213_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Mwalimu mkuu, Naibu wa mwalimu, mwalimu mwandamizi, wanafunzi wa darasa la nane, wanafunzi wa darasa la saba na wanafunzi wenzangu wote kwa jumla hamjambo? Nimechukua fursa kuwakaribisha na kuwaeleza ya kwamba siku hizi wanafunzi wameingiza katika vikundi vya watu wabaya na wengine hata kwa vikundi ya... | Wanafunzi wengi wamekuwa watu wakubwa kupitia nini | elimu | x |
5213_swa_3 | 5213_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Mwalimu mkuu, Naibu wa mwalimu, mwalimu mwandamizi, wanafunzi wa darasa la nane, wanafunzi wa darasa la saba na wanafunzi wenzangu wote kwa jumla hamjambo? Nimechukua fursa kuwakaribisha na kuwaeleza ya kwamba siku hizi wanafunzi wameingiza katika vikundi vya watu wabaya na wengine hata kwa vikundi ya... | Wengine huona wivu kwani watoto wao waliacha nini | shule | x |
5213_swa_4 | 5213_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Mwalimu mkuu, Naibu wa mwalimu, mwalimu mwandamizi, wanafunzi wa darasa la nane, wanafunzi wa darasa la saba na wanafunzi wenzangu wote kwa jumla hamjambo? Nimechukua fursa kuwakaribisha na kuwaeleza ya kwamba siku hizi wanafunzi wameingiza katika vikundi vya watu wabaya na wengine hata kwa vikundi ya... | Mbona wanafunzi wanafaa kusoma | ili kuwasaidia wazazi wao | x |
5214_swa_0 | 5214_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuchukua fursa hii kumushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa hii kuwa hutubia siku ya leo. Nimesimama mbele yenu kuzungumura kuhusu elimu. Elimu ni jambo muhimu kwa kila binadamu yoyote. Bila elimu, h... | Ningependa kuchukua fursa hii kumshukuru nani | Mwalimu mkuu | x |
5214_swa_1 | 5214_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuchukua fursa hii kumushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa hii kuwa hutubia siku ya leo. Nimesimama mbele yenu kuzungumura kuhusu elimu. Elimu ni jambo muhimu kwa kila binadamu yoyote. Bila elimu, h... | Nimesimama wapi | Mbele yenu | x |
5214_swa_2 | 5214_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuchukua fursa hii kumushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa hii kuwa hutubia siku ya leo. Nimesimama mbele yenu kuzungumura kuhusu elimu. Elimu ni jambo muhimu kwa kila binadamu yoyote. Bila elimu, h... | Bila elimu hatungeweza kuwa wapi | Mahali | x |
5214_swa_3 | 5214_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuchukua fursa hii kumushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa hii kuwa hutubia siku ya leo. Nimesimama mbele yenu kuzungumura kuhusu elimu. Elimu ni jambo muhimu kwa kila binadamu yoyote. Bila elimu, h... | Elimu ni jambo muhimu kwa nani | Kila binadamu | x |
5214_swa_4 | 5214_swa | HOTUBA KUHUSU UMUHIMU WA ELIMU Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Ningependa kuchukua fursa hii kumushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa hii kuwa hutubia siku ya leo. Nimesimama mbele yenu kuzungumura kuhusu elimu. Elimu ni jambo muhimu kwa kila binadamu yoyote. Bila elimu, h... | Nani alituambia kuwa lazima tuwe na nidhamu shuleni | Naibu wa mwalimu mkuu | x |
5215_swa_0 | 5215_swa | UMUHIMU WA ELIMU. Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu walimu, viranja, na wanafunzi Haleluyah! Namushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa niwahutubie kuhusu umuhimu wa masomo. Namshukuru naibu wa mwalimu mkuu kwa kunifundisha na kunipa maarifa. Nawashukuru walimu wote kwa kunisaidia pahali popote pale. Bila kupoteza mu... | Anamshukuru nani kwa fursa | Mwalimu mkuu | x |
5215_swa_1 | 5215_swa | UMUHIMU WA ELIMU. Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu walimu, viranja, na wanafunzi Haleluyah! Namushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa niwahutubie kuhusu umuhimu wa masomo. Namshukuru naibu wa mwalimu mkuu kwa kunifundisha na kunipa maarifa. Nawashukuru walimu wote kwa kunisaidia pahali popote pale. Bila kupoteza mu... | Ni kitu gani cha umuhimu | Elimu | x |
5215_swa_2 | 5215_swa | UMUHIMU WA ELIMU. Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu walimu, viranja, na wanafunzi Haleluyah! Namushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa niwahutubie kuhusu umuhimu wa masomo. Namshukuru naibu wa mwalimu mkuu kwa kunifundisha na kunipa maarifa. Nawashukuru walimu wote kwa kunisaidia pahali popote pale. Bila kupoteza mu... | Ni ndio ngao | Elimu | x |
5215_swa_3 | 5215_swa | UMUHIMU WA ELIMU. Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu walimu, viranja, na wanafunzi Haleluyah! Namushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa niwahutubie kuhusu umuhimu wa masomo. Namshukuru naibu wa mwalimu mkuu kwa kunifundisha na kunipa maarifa. Nawashukuru walimu wote kwa kunisaidia pahali popote pale. Bila kupoteza mu... | Wanafunzi wanaombwa wasome kwa nini | Bidii | x |
5215_swa_4 | 5215_swa | UMUHIMU WA ELIMU. Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu walimu, viranja, na wanafunzi Haleluyah! Namushukuru mwalimu mkuu kwa kunipa fursa niwahutubie kuhusu umuhimu wa masomo. Namshukuru naibu wa mwalimu mkuu kwa kunifundisha na kunipa maarifa. Nawashukuru walimu wote kwa kunisaidia pahali popote pale. Bila kupoteza mu... | Kwa nini wasipoteze muda | Kwa vile ukipotea haurudi | x |
5216_swa_0 | 5216_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu hamjambo? Kwa majina ni Susan Ryguru kutoka Gacharage. Nachukua fursa hii kuwaelezea kuhusu umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanisikiza kwa makini na myatilie maanani maneno ambayo nitawasimulia siku hii. Wahenga na wahenguzi wakukosea wali... | Susan Ruguru ametoka wapi | Gacharage | x |
5216_swa_1 | 5216_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu hamjambo? Kwa majina ni Susan Ryguru kutoka Gacharage. Nachukua fursa hii kuwaelezea kuhusu umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanisikiza kwa makini na myatilie maanani maneno ambayo nitawasimulia siku hii. Wahenga na wahenguzi wakukosea wali... | Anaeleza kuhusu umuhimu wa nini | elimu | x |
5216_swa_2 | 5216_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu hamjambo? Kwa majina ni Susan Ryguru kutoka Gacharage. Nachukua fursa hii kuwaelezea kuhusu umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanisikiza kwa makini na myatilie maanani maneno ambayo nitawasimulia siku hii. Wahenga na wahenguzi wakukosea wali... | Nani anachukia kurekebishwa | mjinga | x |
5216_swa_3 | 5216_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu hamjambo? Kwa majina ni Susan Ryguru kutoka Gacharage. Nachukua fursa hii kuwaelezea kuhusu umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanisikiza kwa makini na myatilie maanani maneno ambayo nitawasimulia siku hii. Wahenga na wahenguzi wakukosea wali... | Aliwarekebisha lini | mapema | x |
5216_swa_4 | 5216_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, viranja na wanafunzi wenzangu hamjambo? Kwa majina ni Susan Ryguru kutoka Gacharage. Nachukua fursa hii kuwaelezea kuhusu umuhimu wa elimu. Natumai ya kwamba mtanisikiza kwa makini na myatilie maanani maneno ambayo nitawasimulia siku hii. Wahenga na wahenguzi wakukosea wali... | Kwa nini aliwarekebisha mapema | kwani usipoziba ufa utajenga ukuta | x |
5217_swa_0 | 5217_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjambo? Sina mengi ila tu kuwashukuru kwa kunipa fursa hii ili niwaeleze umuhimu wa elimu. Kwanza kabisa, elimu ni ufunguo wa maisha mazuri. Tunapopata elimu, tunahakikishiwa kuwa watu wa maana katika maisha ya usoni kwani tutakua tumesoma hadi chuo kikuu. Mt... | Mbiu ya mgambo ikilia kuna nini | jambo | x |
5217_swa_1 | 5217_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjambo? Sina mengi ila tu kuwashukuru kwa kunipa fursa hii ili niwaeleze umuhimu wa elimu. Kwanza kabisa, elimu ni ufunguo wa maisha mazuri. Tunapopata elimu, tunahakikishiwa kuwa watu wa maana katika maisha ya usoni kwani tutakua tumesoma hadi chuo kikuu. Mt... | Mchagua jembe si nani | mkulima | x |
5217_swa_2 | 5217_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjambo? Sina mengi ila tu kuwashukuru kwa kunipa fursa hii ili niwaeleze umuhimu wa elimu. Kwanza kabisa, elimu ni ufunguo wa maisha mazuri. Tunapopata elimu, tunahakikishiwa kuwa watu wa maana katika maisha ya usoni kwani tutakua tumesoma hadi chuo kikuu. Mt... | Nini haina mwisho | masomo | x |
5217_swa_3 | 5217_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjambo? Sina mengi ila tu kuwashukuru kwa kunipa fursa hii ili niwaeleze umuhimu wa elimu. Kwanza kabisa, elimu ni ufunguo wa maisha mazuri. Tunapopata elimu, tunahakikishiwa kuwa watu wa maana katika maisha ya usoni kwani tutakua tumesoma hadi chuo kikuu. Mt... | Utafanya kazi gani bila Mungu | ya bure | x |
5217_swa_4 | 5217_swa | Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu na wanafunzi, hamjambo? Sina mengi ila tu kuwashukuru kwa kunipa fursa hii ili niwaeleze umuhimu wa elimu. Kwanza kabisa, elimu ni ufunguo wa maisha mazuri. Tunapopata elimu, tunahakikishiwa kuwa watu wa maana katika maisha ya usoni kwani tutakua tumesoma hadi chuo kikuu. Mt... | Mbona mwanafunzi afanye kazi kwa bidii | ili apate anachotaka | x |
5218_swa_0 | 5218_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Waziri wa elimu, mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu hamjambo? Nawashukuru nyote kwa kuja hapa na kujitoa kwa muda, wenu na kufika hapa leo. Ningependa kuzungumzia kuhusu elimu. Wanafunzi wenzagu ningependa kuwaeleza kuwa mosumo ni muhimu kwa maisha ya binadamu ha... | Mnenaji anawashukuru kwa kuja wapi | Hapa | x |
5218_swa_1 | 5218_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Waziri wa elimu, mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu hamjambo? Nawashukuru nyote kwa kuja hapa na kujitoa kwa muda, wenu na kufika hapa leo. Ningependa kuzungumzia kuhusu elimu. Wanafunzi wenzagu ningependa kuwaeleza kuwa mosumo ni muhimu kwa maisha ya binadamu ha... | Masomo ni muhimu kwa maisha ya nani | Binadamu | x |
5218_swa_2 | 5218_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Waziri wa elimu, mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu hamjambo? Nawashukuru nyote kwa kuja hapa na kujitoa kwa muda, wenu na kufika hapa leo. Ningependa kuzungumzia kuhusu elimu. Wanafunzi wenzagu ningependa kuwaeleza kuwa mosumo ni muhimu kwa maisha ya binadamu ha... | Nini kinaweza kutusaidia katika maisha haya | Masomo | x |
5218_swa_3 | 5218_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Waziri wa elimu, mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu hamjambo? Nawashukuru nyote kwa kuja hapa na kujitoa kwa muda, wenu na kufika hapa leo. Ningependa kuzungumzia kuhusu elimu. Wanafunzi wenzagu ningependa kuwaeleza kuwa mosumo ni muhimu kwa maisha ya binadamu ha... | Nani anaweza kuwa maskini | Mzazi | x |
5218_swa_4 | 5218_swa | UMUHIMU WA ELIMU "Waziri wa elimu, mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu hamjambo? Nawashukuru nyote kwa kuja hapa na kujitoa kwa muda, wenu na kufika hapa leo. Ningependa kuzungumzia kuhusu elimu. Wanafunzi wenzagu ningependa kuwaeleza kuwa mosumo ni muhimu kwa maisha ya binadamu ha... | Tusiposoma kwa bidii tutaishi maisha gani | Ya ufukara | x |
5219_swa_0 | 5219_swa | UMUHIMU WA ELIMU Walimu wenzangu na wanafunzi, hamjambo? Natumai kuwa m buheri wa afya. Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano huu. Shule yetu imekukua na tatizo la stima, hakujakuwa na stima kwa muda mrefu sasa. Ningependa kuomba mwalimu mkuu ashugulukie tatizo hili kwa kasi. Walimu, elimu ni kitu cha maana s... | Msemaji anatumai wana nini | Afya | x |
5219_swa_1 | 5219_swa | UMUHIMU WA ELIMU Walimu wenzangu na wanafunzi, hamjambo? Natumai kuwa m buheri wa afya. Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano huu. Shule yetu imekukua na tatizo la stima, hakujakuwa na stima kwa muda mrefu sasa. Ningependa kuomba mwalimu mkuu ashugulukie tatizo hili kwa kasi. Walimu, elimu ni kitu cha maana s... | Anachukua fursa kuwakaribisha wapi | Katika mkutano | x |
5219_swa_2 | 5219_swa | UMUHIMU WA ELIMU Walimu wenzangu na wanafunzi, hamjambo? Natumai kuwa m buheri wa afya. Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano huu. Shule yetu imekukua na tatizo la stima, hakujakuwa na stima kwa muda mrefu sasa. Ningependa kuomba mwalimu mkuu ashugulukie tatizo hili kwa kasi. Walimu, elimu ni kitu cha maana s... | Elimu ina nini | Mavuno mengi sana | x |
5219_swa_3 | 5219_swa | UMUHIMU WA ELIMU Walimu wenzangu na wanafunzi, hamjambo? Natumai kuwa m buheri wa afya. Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano huu. Shule yetu imekukua na tatizo la stima, hakujakuwa na stima kwa muda mrefu sasa. Ningependa kuomba mwalimu mkuu ashugulukie tatizo hili kwa kasi. Walimu, elimu ni kitu cha maana s... | Mtu anaposoma huona nini | Mazuri | x |
5219_swa_4 | 5219_swa | UMUHIMU WA ELIMU Walimu wenzangu na wanafunzi, hamjambo? Natumai kuwa m buheri wa afya. Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano huu. Shule yetu imekukua na tatizo la stima, hakujakuwa na stima kwa muda mrefu sasa. Ningependa kuomba mwalimu mkuu ashugulukie tatizo hili kwa kasi. Walimu, elimu ni kitu cha maana s... | Mtu asipopata elimu atapata nini | Shida | x |
5220_swa_0 | 5220_swa | UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini. Kutokana na kilimo tunapata vyakula vya kila aina kama vile njungu, mahindi, maharagwe na mihogo. Kilimo kimechangia katika kuilisha wananchi wa taifa hili letu. Mavuno ya kilimo cha mimea yameweza kusafirishwa hadi kwenye masoko na kuweza kuuziwa watu... | Watu hulima nini | Chakula kingi sana | x |
5220_swa_1 | 5220_swa | UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini. Kutokana na kilimo tunapata vyakula vya kila aina kama vile njungu, mahindi, maharagwe na mihogo. Kilimo kimechangia katika kuilisha wananchi wa taifa hili letu. Mavuno ya kilimo cha mimea yameweza kusafirishwa hadi kwenye masoko na kuweza kuuziwa watu... | Ni wakati gani watu hawakukosa chakula | Mwaka wa elfu mbili na kumi na saba | x |
5220_swa_2 | 5220_swa | UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini. Kutokana na kilimo tunapata vyakula vya kila aina kama vile njungu, mahindi, maharagwe na mihogo. Kilimo kimechangia katika kuilisha wananchi wa taifa hili letu. Mavuno ya kilimo cha mimea yameweza kusafirishwa hadi kwenye masoko na kuweza kuuziwa watu... | Watu walikula chakula chao vipi | Vizuri bila kutupa | x |
5220_swa_3 | 5220_swa | UMUHIMU WA KILIMO NCHINI Kilimo kina faida nyingi sana hapa nchini. Kutokana na kilimo tunapata vyakula vya kila aina kama vile njungu, mahindi, maharagwe na mihogo. Kilimo kimechangia katika kuilisha wananchi wa taifa hili letu. Mavuno ya kilimo cha mimea yameweza kusafirishwa hadi kwenye masoko na kuweza kuuziwa watu... | Waziri aliwahimiza watu wasiharibu nini | Vyakula | x |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.